Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
@sms24me You can receive SMS online with the listed numbers at SMS24. You can use the numbers to sign up or verify for any services like Telegram, Facebook, Google, Gmail, WhatsApp, Viber, Line, WeChat, KakaoTalk etc.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ziara ya mafunzo ya wanafunzi kutoka Chuo cha Abulrahman Alsumait -Zanzibar kutembelea Makumbusho ya Mawasiliano yaliyopo Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), tarehe 24 Januari, 2022.

TCRA inawakaribisha Watanzania wote kutembelea makumbusho ya mawasiliano yaliyopo Makao Makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam, ili kupata fursa ya kujifunza na kujionea historia ya Teknolojia ya Mawasiliano tangu kale hadi sasa.

Pamoja na hayo mngekua mnaweka namba zenu wenye matatizo tuwasiliane nanyi maana binafsi kunamtu amedukua akaunti yangu ya fb inayosomeka Kwajina Iddy Muhuga jambo ambalo najua ni baya kwangu
TeknoKona (Facebook)

Sera za faragha hutoa muongozo wa jinsi taarifa zako zinaweza kutumiwa na watoa huduma za mtandaoni, Ni muhimu kuzisoma ili kujua ulichokubaliana nacho unapotumia huduma zao. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Namna ambavyo unaweza kuchagua taarifa fupi ambazo ungependa kuzipa kipaumbele kwenye WhatsApp.
TeknoKona (Facebook)

Zifahamu njia sahihi za kusafisha simu yako kwa kusoma makala hii.

https://zcu.io/dMwM
TeknoKona (Facebook)

"Mtoa huduma atatoa taarifa kila wakati matumizi ya kifurushi yatakapofikia asilimia 75 na 100 kwa vifurushi vya muda wa maongezi, data na SMS" Kujua zaidi soma makala hii.

https://zcu.io/iTxe
TeknoKona (Facebook)

Nywila yako ni siri yako peke yako, Usimtajie mtu yeyote ili kulinda usalama wa taarifa zako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Kuna zaidi ya programu endeshi tatu zinazotumiwa na watu tofauti tofauti kwa matumizi tofauti. Je wewe unatumia ipi kati ya hizi? 1. Windows 10 2. Kali Linux 3. Ubuntu

Tembelea tovuti yetu kujifunza zaidi kuhusu programu endeshi hizi https://teknolojia.co.tz/