Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

TEHAMA imerahisisha maisha; Tuitumie kwa usahihi kwaajili ya manufaa ya kizazi cha sasa na baadaye.

#2022yakidijitali
TeknoKona (Facebook)

App ya tTorrent na Torrentex ni kati ya App unazoweza kutumia kwenye simu janja yako ya Android kupakua mafaili mtandaoni. Soma makala hii kufahamu zaidi

https://zcu.io/ytIQ
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kukifahamu kifaa kinachokuwezesha kupima macho ukiwa nyumbani.

https://zcu.io/jQRj
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kufuatilia mawasiliano ya mtu yeyote 2022 || how to track any phone
hivi unajua Kuna njia rahisi ya kuweza kumfuatilia mtu mawasiliano yake kupitia simu yako nazani ulikua hujui ila Leo ngoja nikujuze ✊

utaweza kuona mambo mbalimbali kuhusu simu yake πŸ‘‡πŸ‘‡
β€’ sms zake anazotuma au kutumiwa
β€’ location yake alipo huyi mtu 😁
β€’call logs zake utaweza kusikiliza mawasiliano yake
β€’ message zake za mitandao ya kijamii na nk

Kumbuka :
Tunatoa hii video kwa ajili ya elimu tu hivyo hatuhusiki na uvunjivu wa Shera yoyote ikitokea umeitumia ndivyo sivyo πŸ‘

Jiunge nasi telegram πŸ‘‡

https://t.me/bongoTechs255

TikTok πŸ‘‡
tiktok.com/@bongotech255

disclaimer

this video for education purpose only we are not involved in any illegally activities ✊ we here to help people about technology not cyber crime πŸ”—

teknolojia ni Yetu sote ✊

#swahili #maujanja #simu #bongo #bongote ...
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu mambo ya kufanya unapotaka kuuza simu yako

https://zcu.io/8fDc
TeknoKona (Facebook)

IMEI namba ya simu yako inaweza kutumika kwa namna tofauti tofauti kama kukata bima kwaajili ya simu yako, kudai waranty na kuifungia simu pale inapoibiwa. Kwa ushauri zaidi wa matumizi sahihi ya vifaa vya kielektroniki tembelea tovuti yetu https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Usimuamini mtu na taarifa zako binafsi, Linda taarifa zako na pia chukua tahadhari. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

BILLY BLANKS ALIPOTELEA WAPI?
#BillyBlanks #Movie
Billy Blanks ni moja ya mastaa wa Hollywood wa miaka ya 80 na 90. Billy Blanks ambae kuna movie alionekana kando ya Jean-Claude Van Damme na Bolo Yeung alivuma sana katika miaka ya 80, aliporomoka kidogo katika suala la umaarufu katika miaka ya 90, na sasa watu wengi walihoji yu hai? kama hai,yuko wapi na anafanya nini.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
TeknoKona (Facebook)

WhatsApp mbioni kuwa na uwezo huu kwa watu wote.
TeknoKona (Facebook)

Je, wewe ni mdau wa kusikiliza muziki mtandaoni? Fahamu mtandao unaopenda kutumia upo nafasi gani.