Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Tech
Njia Nyingine ya Kutumia Space Bar (Android) #MaujanjaDK1

Kama kwa namna yoyote unataka kujua njia nyingine ya kutumia Space Bar basi hii ni njia rahisi ya kutumia space bar kwenye simu yako ya Android.
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu zaidi kuhusiana na utafiti uliofanyika kwa watoto wenye umri wa miaka 10 mpaka 15 kuhusu Athari za mitandao ya kijamii kwa watoto.

https://zcu.io/SLM9
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kuifahamu kwa undani App ya TrueCaller pamoja na jinsi inavyofanya kazi.

https://zcu.io/WCJW
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KEVIN WA 'HOME ALONE' ALIPOTELEA WAPI?
#HomeAlone #MacaulayCulkin
Home Alone ni movie iliyochezwa na Macaulay Culkin, Katika filamu hiyo, familia ya McCallister inasafiri kwenda Paris kwa likizo lakini kwa bahati mbaya wanamwacha nyuma mwanafamilia mmoja, Kevin mtoto wao wa miaka 8.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeshiriki katika maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Posta Afrika yaliyoanzia kwenye viunga vya ofisi za Posta Arusha na kufikia tamati katika viwanja vya ofisi za Makao Makuu ya Posta Afrika - PAPU, 18 Januari, 2022.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Kundo Andrea Mathew.

Ujumbe wa TCRA uliongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dkt. Jabiri Bakari.… See more

Congratulations
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu jinsi ya kuangalia video za Youtube wakati unatumia App zingine.

https://zcu.io/wzVf
TeknoKona (Facebook)

Telegram yaweka uwezo wa kufuta mazungumzo "Chats" zote kwa pande zote mbili za wazungumzaji. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/ulkP
TeknoKona (Facebook)

Tumia lugha ya kistaarabu unapowasiliana na mtu kupitia mitandao ya kijamii. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Zima na kuwasha simu yako mtandao unaposumbua. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bambo la Mtaa Alhamisi hii, tarehe 20 Januari, 2022πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

Ni kupitia chaneli ya Clouds Tv, kuanzia saa mbili na nusu usiku (2:30).
USIKOSE!
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

TEHAMA imerahisisha maisha; Tuitumie kwa usahihi kwaajili ya manufaa ya kizazi cha sasa na baadaye.

#2022yakidijitali