Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

REMA / MAMBO 10 USIYOFAHAMU
Kupitia episode hii tunakwenda kuangazia maisha ya Rema kutoka mtaani na msoto aliopitia hadi kuwa nyota wa mziki wa kizazi kipya nchini Nijeria.

0:00​ | Introduction
1:00​ | Historia ya Rema
1:42​ | Rema before fame
2:22​ | Rema na D'Prince mdogo wake Don jazzy
3:11 | Baada ya Tiwa savage,Rema aipa heshima Mavin Records
3:53 | Iron Man by Rema chini ya Mavin
4:37​ | Wimbo wa Rema kwenye Summer Playlist ya Obama
5:15​ | Producer aliyempa sound ya kipekee
5:53 | Rema vs Wizkid
6:27​ | Aina ya Mziki wa Rema ni ipi?
7:08​ | Rema,Afrobeats na Afrorave
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Zingatia kutumia utambulisho wako halisi kwenye mitandao ya kijamii.

#SambazaMchongoNaSioUongo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bambo la Mtaa Alhamisi hii, tarehe 11/11/2021πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

Ni kupitia chaneli ya Clouds Tv, kuanzia saa mbili na nusu usiku (2:30).
USIKOSE!