Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.51K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
May 05, 2023 at 08:20AM
bongotech255 - ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—ฎ

Je umepoteza simu...

bongotech255 - Home | Facebook

๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—ฎ

Je umepoteza simu yako ya Samsung ? Utafanyaje jinsi ya kuipata simu yako ?kwa kuwa simu yako umenunua gharama!! Nitakujuza. Kupoteza au kuibiwa simu kunauma nyie acheni tena mpya daah !! ebu retweet kisha like tuendelee kujifunza ๐Ÿ‘‡ Tunatumia simu kwa ajili ya mawasiliano na watu mbalimbali , kupoteza simu ni moja wapo ya jambo ya changamoto ngumu kwenye maisha Yetu haswa kama simu yako ndo mpya alafu umenunua kwa Gharama kubwa. Ila watumiaji wengi wa Samsung wana bahati sana , maana kwenye simu nyingi za Samsung Kuna feature kuweza kutafuta simu iliyopotea au kuibiwa. Kuna...

View original post
May 08, 2023 at 12:06AM
May 08, 2023 at 06:05AM
May 08, 2023 at 10:30AM
May 08, 2023 at 11:16AM