InstantView from Source
YouTube
KANYE WEST AMEIBIWA HADHARANI š±š±
Kanye west sio tena rapa bilionea namba 1, ameshuka sasa ni wa tatu baada ya Jay Z na P Diddy. Kupitia episode hii tunakwenda kutazamia jinsi brand yake ya Yeezy ilivyoibiwa mbele ya macho yake
Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmyā¦

bongotech255 - Case mbalimbali nzuri Kwa ajili ya...
bongotech255 - Home | Facebook
Case mbalimbali nzuri Kwa ajili ya kuhifadhi Hard disk yako kwenye laptop yako
Karibu @wikeltechnologies_tz ujiptie sasa @hyatzcomputers @zirene_laptop_accessories_tz Mikoani mnatumiwa Kwa uwaminifu mkubwa Sana Wapigie sasa š +255692630904 | +255765171270 #ssd #harddisk #bongotech255 #tanzania

Kama kawaida Leo nakuletea program Bora kuwa nazo kwenye simu kwa mwezi January
Zuia vitu kufutika ovyo
kuna app inaitwa dumpster kwa watumiaji wa simu za android hii ni bonge la app ambayo itakusaidia wewe kuweza kuzuia kufuta vitu ovyo au kwa bahati mbaya kwenye simu yako. ⦠See more
Madini hayo kaka

Microsoft Wataachana Na Kuuza Leseni Za Windows 10 Hivi Karibuni!
https://teknolojia.co.tz/microsoft-wataachana-na-kuuza-leseni-za-windows-10-hivi-karibuni/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=microsoft-wataachana-na-kuuza-leseni-za-windows-10-hivi-karibuni&utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=microsoft-wataachana-na-kuuza-leseni-za-windows-10-hivi-karibuni

TeknoKona Teknolojia Tanzania
Microsoft Wataachana Na Kuuza Leseni Za Windows 10 Hivi Karibuni!
Hii ni habari mbaya kwa wapenzi wa Windows 10, Kwa haraka haraka ni kwamba Microsoft inawataka watu wahamie katika Windows 11. Microsoft ni moja ya kampuni k
bongotech255 - Home | Facebook
Imepita miezi kadhaa Toka chat bots aka chat Gpt kuachiwa ulimwenguni lakini umekua mtandao hatarishi vyuoni.
Walimu wengi wamelalamika Sana juu ya huu mtandao wa chat bots kutumika vibaya na Wanafunzi.
Chat bot ni Teknolojia yenye kutumia mfumo wa Artificial intelligence (akili bandia) wenye kukusaidia kwenye mambo mengi tu. Ikiwa mtu anahitaji kujua juu ya historia ya Jambo fulani , nyimbo fulani, mashairi, kujibu maswali ya mitihani, Assignment nk.⦠See more
Kaka mkuu, mbona mie nikijunga haikubali. Shida ni nini
An Amanzi inaandika ujumbe gan

Jipatie pad Original unachezea Game la mpira, magari, action, horror Kwa 35000 tu warranty miezi sita ikifa rudisha
Wapigie sasa
+255692630904 | +255765171270⦠See more

Jinsi ya kuficha faili na folda kwenye kompyuta (computer) yenye Windows 10 na 11
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Jinsi ya kuficha faili na folda kwenye kompyuta (computer) yenye Windows 10 na 11
Iwapo una Faili (file) ama Folda (folder) kwenye kompyuta yako na ungependa kulifanya lisionekane kwa wengine, unaweza kuficha Faili na Folda ili wengine wasiweze kuzifikia kwa urahisi. Kwa bahati nzuri ni kwamba kwenye kompyuta za Windows hukuruhusu kufichaā¦
bongotech255 - Simu nyingi za kisasa zimekuja na muundo...
bongotech255 - Home | Facebook
Simu nyingi za kisasa zimekuja na muundo tofauti wa kamera hutoa picha zilizo Bora Kwa ajili ya wale watu wapenda picha za kifamilia, marafiki wachezaji , waimbaji waigizaji nk.
Unajua wakati unapiga picha unaweza kutumia kamera zako zote zilizopo kwenye simu yako lakini wewe utambui kabisa. Umuhimu wa kamera kwenye simu ni Kuhusu sensor na lens. Wakati unapiga picha sensor inafanya kazi ya kutambua resolution pamoja na ubora wa picha. lensi ufanya kazi ya kudhibiti mitindo yote kuanzia mawimbi, mwangaza, uwezo wa kutizama kitu Kwa ukaribu au kikiwa mbali Kwa ubora. 1) wide or main camera Wide angle kamera kwenye simu zetu inakupa...
View original post