Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.77K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
bongotech255 - ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ni moja wa mtandaoni unaotumiwa...
bongotech255 - Home | Facebook

๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ni moja wa mtandaoni unaotumiwa sana na watu wengi ulimwenguni kwa kuwasiliana kwa njia ya ujumbe, picha , videos , sticker nk unajulikana kama mtandao salama.

Lakini sio kila mtumiaji wa Whatsapp yuko Yuko salama!! Watu wengi wamekua wakilalamika kupata matukio ya kuzuiwa kutumia WhatsApp either kwa kujua au kutokujua. Kuna kitu kinaitwa Whatsapp banned ? Je ni kitu gani ? ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ป๐—ฒ๐—ฑ ? Ni ujumbe unaotokea kwenye akaunti yako ya Whatsapp, mtu kuzuiliwa kutumia mtandao huo baada ya kuvunja Sheria na sera mbalimbali za huo mtandao. Ikitokea mtu amezuiliwa kutumia WhatsApp kuna ujumbe unatoke...

View original post
bongotech255 - Teknolojia inaenda Kasi Sana ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ...
bongotech255 - Home | Facebook

Teknolojia inaenda Kasi Sana ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ wameweka feature nzuri Sana ya kuweza kutumia Whatsapp kwenye nchi zilizo zuiwa kutumia intaneti.

Labda Eneo uliopo ๐˜€๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜‡๐˜‚๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜๐˜‚ kutumia Whatsapp , kutokana na sababu zao lakini kampuni ya meta wameamua kuleta feature ya kutumia Whatsapp maeneo ambayo akuna access ya intaneti kupitia proxy seva. ๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ๐˜…๐˜† inakua kama daraja ambalo linamsaidia mtumiaji kutumia intaneti kupitia Seva kwenye maeneo ambayo akuna mtandao ( mtandao umezuiliwa). Proxy Seva inaweza kutumiwa na mtu mmoja au taasisi ulimwenguni kote. Mfumo huu unamsaidia mtu kutumia intaneti hata...

View original post
bongotech255 - Kama kawaida Leo nakuletea program Bora...
bongotech255 - Home | Facebook

Kama kawaida Leo nakuletea program Bora kuwa nazo kwenye simu kwa mwezi January ๐Ÿ‘‡

1๏ธโƒฃZuia vitu kufutika ovyo kuna app inaitwa dumpster kwa watumiaji wa simu za android hii ni bonge la app ambayo itakusaidia wewe kuweza kuzuia kufuta vitu ovyo au kwa bahati mbaya kwenye simu yako. 2๏ธโƒฃ ficha picha na video zako za muhimu kuna muda tunahitaji simu zetu ziwe faragha kidogo yani sio kila kitu watu waone kwenye simu yako. kuna baadhi ni siri pakua hii app ya keepsafe photo vault. 3๏ธโƒฃ Chagua simu ijipige au kutuma sms yenyewe Ni app nzuri sana ambayo itakusaidia sana kwani ina mambo kedekede ๐Ÿ˜€ utaweza kufanya mambo mengi bila kushika simu...

View original post
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Njia Nyingine ya Kutumia Space Bar (Android) #MaujanjaDK1
Kama kwa namna yoyote unataka kujua njia nyingine ya kutumia Space Bar basi hii ni njia rahisi ya kutumia space bar kwenye simu yako ya Android.