Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.77K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli šŸ‘‹
Download Telegram
bongotech255 - Case mbalimbali nzuri Kwa ajili ya...
bongotech255 - Home | Facebook

Case mbalimbali nzuri Kwa ajili ya kuhifadhi Hard disk yako kwenye laptop yako

Karibu @wikeltechnologies_tz ujiptie sasa @hyatzcomputers @zirene_laptop_accessories_tz Mikoani mnatumiwa Kwa uwaminifu mkubwa Sana Wapigie sasa šŸ‘‡ +255692630904 | +255765171270 #ssd #harddisk #bongotech255 #tanzania
bongotech255 - Home | Facebook

Kama kawaida Leo nakuletea program Bora kuwa nazo kwenye simu kwa mwezi January

Zuia vitu kufutika ovyo

kuna app inaitwa dumpster kwa watumiaji wa simu za android hii ni bonge la app ambayo itakusaidia wewe kuweza kuzuia kufuta vitu ovyo au kwa bahati mbaya kwenye simu yako. … See more

Madini hayo kaka
bongotech255 - Home | Facebook

Imepita miezi kadhaa Toka chat bots aka chat Gpt kuachiwa ulimwenguni lakini umekua mtandao hatarishi vyuoni.

Walimu wengi wamelalamika Sana juu ya huu mtandao wa chat bots kutumika vibaya na Wanafunzi.

Chat bot ni Teknolojia yenye kutumia mfumo wa Artificial intelligence (akili bandia) wenye kukusaidia kwenye mambo mengi tu. Ikiwa mtu anahitaji kujua juu ya historia ya Jambo fulani , nyimbo fulani, mashairi, kujibu maswali ya mitihani, Assignment nk.… See more

Kaka mkuu, mbona mie nikijunga haikubali. Shida ni nini

An Amanzi inaandika ujumbe gan
bongotech255 - Home | Facebook

Jipatie pad Original unachezea Game la mpira, magari, action, horror Kwa 35000 tu warranty miezi sita ikifa rudisha

Wapigie sasa

+255692630904 | +255765171270… See more
bongotech255 - Simu nyingi za kisasa zimekuja na muundo...
bongotech255 - Home | Facebook

Simu nyingi za kisasa zimekuja na muundo tofauti wa kamera hutoa picha zilizo Bora Kwa ajili ya wale watu wapenda picha za kifamilia, marafiki wachezaji , waimbaji waigizaji nk.

Unajua wakati unapiga picha unaweza kutumia kamera zako zote zilizopo kwenye simu yako lakini wewe utambui kabisa. Umuhimu wa kamera kwenye simu ni Kuhusu sensor na lens. Wakati unapiga picha sensor inafanya kazi ya kutambua resolution pamoja na ubora wa picha. lensi ufanya kazi ya kudhibiti mitindo yote kuanzia mawimbi, mwangaza, uwezo wa kutizama kitu Kwa ukaribu au kikiwa mbali Kwa ubora. 1) wide or main camera Wide angle kamera kwenye simu zetu inakupa...

View original post