Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.77K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
bongotech255 - Home | Facebook

𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 ni moja wa mtandaoni unaotumiwa sana na watu wengi ulimwenguni kwa kuwasiliana kwa njia ya ujumbe, picha , videos , sticker nk unajulikana kama mtandao salama.

Lakini sio kila mtumiaji wa Whatsapp yuko Yuko salama!! Watu wengi wamekua wakilalamika kupata matukio ya kuzuiwa kutumia WhatsApp either kwa kujua au kutokujua.

Kuna kitu kinaitwa Whatsapp banned ? Je ni kitu gani ?

𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽… See more

Habari mwalimu samahani naomba nisaidie namba yako ya simu
👍1
bongotech255 - Wako machinga complex ukifika wapigie 👇...
bongotech255 - Home | Facebook

Wako machinga complex ukifika wapigie 👇 +255692630904 | +255765171270

Kwa mahitaji mbalimbali kuhusu vifaa vya kompyuta follow 👇 @hyatzcomputers @zirene_laptop_accessories_tz @wikeltechnologies_tz Mikoani mnatumiwa kwa uwaminifu mkubwa Sana 🔥🔥 #mouse #mousepad #pcaccessories #laptop
bongotech255 - 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 ni moja wa mtandaoni unaotumiwa...
bongotech255 - Home | Facebook

𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 ni moja wa mtandaoni unaotumiwa sana na watu wengi ulimwenguni kwa kuwasiliana kwa njia ya ujumbe, picha , videos , sticker nk unajulikana kama mtandao salama.

Lakini sio kila mtumiaji wa Whatsapp yuko Yuko salama!! Watu wengi wamekua wakilalamika kupata matukio ya kuzuiwa kutumia WhatsApp either kwa kujua au kutokujua. Kuna kitu kinaitwa Whatsapp banned ? Je ni kitu gani ? 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗯𝗮𝗻𝗻𝗲𝗱 ? Ni ujumbe unaotokea kwenye akaunti yako ya Whatsapp, mtu kuzuiliwa kutumia mtandao huo baada ya kuvunja Sheria na sera mbalimbali za huo mtandao. Ikitokea mtu amezuiliwa kutumia WhatsApp kuna ujumbe unato...

View original post