Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Jinsi Ya Ku’Copy’, Ku’Cut’ Na Ku’Paste’ Kwa Urahisi Katika Google Drive!

Google Drive ni njia moja wapo na maarufu sana ya kuhifadhia taarifa (picha, video, nyaraka n.k) katika mtandao. Hivi karibuni niliandika pia kuhusiana na Google Docs kupata sasisho jipya ambalo halina utofauti mkubwa sana na hili.. Ingia HAPA ili kusoma hilo. Google kwa sasa kupitia Google Drive wameweka/wameongeza kipengele cha uwezo wa kukata (cut), kunakili...

The post Jinsi Ya Ku’Copy’, Ku’Cut’ Na Ku’Paste’ Kwa Urahisi Katika Google Drive! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kucopy-kucut-na-kupaste-kwa-urahisi-katika-google-drive/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=jinsi-ya-kucopy-kucut-na-kupaste-kwa-urahisi-katika-google-drive
Samsung Kupunguza Uzalishaji Wa Simu Kwa Asilimia 10!

Samsung ni moja kati ya kampuni kubwa kabisa za kutengeneza na kuuza simu licha ya kuwa na uzalishaji mkubwa sana wa simu kwa mwaka, hilo linabadilika mwaka huu. Unaweza ukawa unajiuliza juu ya sababu inayopelekea hili? ni wazi kuwa kwa mwaka kampuni hiyo inatengeneza matoleo mengi sana ya simu. Mwaka huu kampuni hiyo ilijikadiria kuwa...

The post Samsung Kupunguza Uzalishaji Wa Simu Kwa Asilimia 10! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/samsung-kupunguza-uzalishaji-wa-simu/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=samsung-kupunguza-uzalishaji-wa-simu
Instagram Na Uwezo Wa Kuchagua Jinsi ‘Profile’ Yako Inavyoonekana!

Instagram ni mtandao wa kijamii maarufu sana hasa katika maswala ya picha na video fupi fupi. Kwa baadhi ya watu ndio mtandao wao wa kijamii pendwa. Kwa watu maarufu na wafanya biashara Instagram imekua ni msaada mkubwa sana kwao bila kusahau kuwa ni njia moja wapo ya kuwaunganisha kaibu na watu wanaowafuatilia (mashabiki). Ushwahi kufikiria...

The post Instagram Na Uwezo Wa Kuchagua Jinsi ‘Profile’ Yako Inavyoonekana! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/instagram-na-uwezo-wa-kuchagua-jinsi-profile-yako-inavyoonekana/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=instagram-na-uwezo-wa-kuchagua-jinsi-profile-yako-inavyoonekana
MAUJANJA: Tumia Video Za TikTok Kama Wallpaper Katika iPhone!

Tumeshaandika mengi sana kuhusu mtandoa wa TikTok, unaweza ukayasoma  >>HAPA<<. Tukiachana na hayo leo tunakuletea maujanja. Ni wazi kabisa katika mtandao huo kuna video nyingi tuu na za aina yake ambavyo pengine ungependa ziwe kama sehemu ya ‘Wallpaper’ katika iPhone yako. Cha kufanya hapa ni kwamba inabaidi ubadilishe video hiyo iwe katika mfumo wa ‘Live...

The post MAUJANJA: Tumia Video Za TikTok Kama Wallpaper Katika iPhone! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/tumia-tiktok-kama-wallpaper-katika-iphone/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=tumia-tiktok-kama-wallpaper-katika-iphone
Jinsi Ya Kufuta Taarifa Katika Laptop Ya Windows Iliyopotea!

Tunaweza kupoteza vifaa vyetu vya kielektroniki, pia vinaweza kuibiwa, je tunavipata vipi? kama uwezekano wa kuvipata unashindikana je tunaweza futa taarifa zetu nyeti? Kwa dunia ya sasa ni mara chache sana watu wanaumia kuhusu kifaa ukilinganisha na taarifa za ndani ya kifaa pindi tuu kifaa kinapoibiwa au kupotea. Tumeshaandika sana kuhusu jinsi ya kuipata simu...

The post Jinsi Ya Kufuta Taarifa Katika Laptop Ya Windows Iliyopotea! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kufuta-taarifa-katika-laptop-ya-windows-iliyopotea/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=jinsi-ya-kufuta-taarifa-katika-laptop-ya-windows-iliyopotea
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Epuka kulaza Simu Chaji Na Simu ikifika 100% usiendelee kuichaji ili kulinda simu yako kwani unaweza haribu betri na simu ikapata madhara #simukitaa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

IFAHAMU SIMU YA MKONONI YA KWANZA KUTUMIKA, MOTOROLA DynaTAC 8000X
Motorola DynaTac 8000X ndio simu ya kwanza ya mkononi kuingizwa sokoni na kutumiwa na watu. Je unafahamu ilikuwa inauzwa bei gani? Tazama video hii.

Fahamu mengi kuhusu simu na teknolojia zingine kwa kutembelea Blogu yetu ya Teknolojia.
Habari za Teknolojia - https://teknolojia.co.tz/
Habari za Simu - https://teknolojia.co.tz/teknolojia/simu/
Njia Za ‘Ujanja Ujanja’ Katika Kivinjari Cha Chrome Katika Keyboard!

Google Chrome ni moja kati ya kivinjari maarufu na bora duniani, kivinjari hiki kipo katika orodha ya vivinjari vinavyotumiwa sana kwa sasa. Katika dunia ya sasa ni vyema kabisa kuwa na njia za mkato vingi ambavyo vitakusaidia kurahisisha kazi wakati uko mtandaoni. Hizi Ni Njia Za Mkato Na Za ­Kiujanja Ujanja Wakati Unatumia Chrome. Njia...

The post Njia Za ‘Ujanja Ujanja’ Katika Kivinjari Cha Chrome Katika Keyboard! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/njia-za-ujanja-ujanja-katika-kivinjari-cha-chrome-katika-keyboard/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=njia-za-ujanja-ujanja-katika-kivinjari-cha-chrome-katika-keyboard
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

FAHAMU MAJUKWAA YA HUDUMA ZA #GOOGLE
Google ni moja kati ya makampuni makubwa zaidi duniani. Pata kufahamu kwa uchache baadhi ya huduma zake muhimu ambazo inawezekana ukawa ushawahi kuzisikia bila ya kuwa na uelewa wake zaidi.

Soma habari za Teknolojia - https://teknolojia.co.tz/
Soma habari za kiteknolojia zinazohusu Google - https://teknolojia.co.tz/teknolojia/google/
Infinix NOTE 12 VIP na Galaxy S22 Ultra Kufanana Megapixels

Je unafahamu kampuni ya simu Infinix imezindua rasmi simu ya kwanza ya watt 120?, Mei 16/5/2022 Kampuni ya simu za mkononi Infinix ilizindua rasmi Matoleo matatu ya mfululizo wa series ya NOTE – Infinix NOTE 12 VIP, NOTE 12 PRO na NOTE 12. Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali kutoka mitandaoni, Infinix imejibebea sura mpya baada […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/05/infinix-note-12-vip/
Chaji Kwa DK17 Tuu, Simu Za INFINIX Kuanza Kuja Na WATT 120! #InfinixNote12VIP

Fununu ambazo si rasmi ila tayari zinasambaa na kwa baadhi ya nchi zisha achiwa huru juu ya kampuni ya simu INFINIX MOBILE kuja na simu Mpya aina ya INFINIX NOTE 12 VIP. kampuni hii inaleta toleo hili la simu ikiwa ni muendelezo wa  Infinix Note 12, simu hii inakuja na maajabu mengi ambayo hayajawahi kufanyika...

The post Chaji Kwa DK17 Tuu, Simu Za INFINIX Kuanza Kuja Na WATT 120! #InfinixNote12VIP appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/infinix-note-12-vip/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=infinix-note-12-vip
App Zilizoshinda ‘Katika Microsoft Store Awards’ 2022!

Tulisha andika hapa kuhusiana na mchakato mzima wa jinsi ya kupiga kura tuzo hizi za Microsoft. Kusoma tena Makala ya nyuma kuhusiana na tuzo hizi ingia >>HAPA<< Leo sasa tunakuletea washindi (App zilizoshinda) wa tuzo hizi Vipengele kama tulivyosema vilikua ni vitatu, yaaani File management, Utility na Open Platform Washindi Ni Kama Ifuatavyo 1.Kipengele Cha...

The post App Zilizoshinda ‘Katika Microsoft Store Awards’ 2022! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/app-zilizoshinda-katika-microsoft-store-awards-2022/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=app-zilizoshinda-katika-microsoft-store-awards-2022