Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Downloading File to the Server
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jihadhari Sana huu Wizi kwenye Whatsapp Yako #cfm #whatsapp #socialmedia
Tunapokuwa tunatumia mitandao yetu ya kijamii tujihadhari Sana maana Kuna uwalifu mpya unaendelea kupitia Whatsapp watu kuweza kuibiwa akaunti zao bila kujijua

Teknolojia ni Yetu sote

Jiunge nasi telegram 👇

https://t.me/bongoTechs255

Subscribe like comment for more video's
Downloading File to the Server
Downloading File to the Server
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Badilisha muonekano wa Xr iwe macho mawili, X na Xs Max iwe Macho matatu kwa 15k tu #simukitaa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kutatua tatizo la REUSED CONTENT ndani ya YouTube 2022
Jifunze jinsi ya kutatua tatizo la reused content ndani ya Youtube na uweze kupata ama kurudishwa katika mfumo wa YouTube Monetization hasa kwa 2022

Pakua App ya Ada: https://ada.com/
Inasaidia matokeo bora zaidi ya afya na uhodari wa kitiba kwa kutumia teknolojia erevu.

FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz
Twitter: https://twitter.com/richstartz
Facebook: https://facebook.com/richstatz
Email: rmaguluko@gmail.com
Jinsi ya kutrack location ya mtu yeyote kupitia simu Yako || how to track someone location on phone — Bongotech255
https://youtu.be/fZdW_xFBhw4 3:13
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kutrack location ya mtu yeyote kupitia simu Yako || how to track someone location on phone
Hivi Unajua unaweza kutambua location ya mtu yeyote Yuko maeneo Gani au nchi Gani kupitia simu Yako na kumpata Kirahisi Sana Tizama video

Karibu telegram akaunti yetu 👇

https://t.me/bongoTechs255

Subscribe like comment na share for more video's
Simu Za Kujikunja Kutoka GOOGLE Kucheleweshwa Tena!

Simu za mfumo huu kutoka katika kampuni ya Google zinasubiriwa kwa hamu sana na kwa mwaka huu tulikua tunategemea tupate hata moja kutoka katika kampuni hilo. Kama unakumbuka kuna hii moja tuliiandika hapa na tulikua tunaitegemea mwisho wa mwaka huu, lakini sasa inatuladhimu tusubiri walau mpaka mwaka 2023. Kumbuka Google imeshatoa baadhi ya simu zake...

The post Simu Za Kujikunja Kutoka GOOGLE Kucheleweshwa Tena! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/simu-za-kujikunja-kutoka-google-kucheleweshwa-tena/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=simu-za-kujikunja-kutoka-google-kucheleweshwa-tena
Electronic Arts (EA) Iko Sokoni Na Hawa Ndio Ndio Wanaotegemewa Kuinunua!

Electronic Arts au maarufu kama EA ni kampuni nguli inayojishughulisha na utengenezaji wa michezo (Game) ya aina mbali mbali. Baadhi ya michezo maarufu ni kama  FIFA, Madden, Battlefield na Need for Speed ambayo yote inaandaliwa na kampuni hiyo. Habari zilipotoka kuwa kampuni hiyo iko sokoni au kama kuna uwezekano wa kujiunga na kampuni nyingine zilipotoka...

The post Electronic Arts (EA) Iko Sokoni Na Hawa Ndio Ndio Wanaotegemewa Kuinunua! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/electronic-arts-ea-iko-sokoni-na-hawa-ndio-ndio-wanaotegemewa-kuinunua/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=electronic-arts-ea-iko-sokoni-na-hawa-ndio-ndio-wanaotegemewa-kuinunua
Infinix Hot 12 | Fahamu Sifa na Bei yake — Poatel
https://youtu.be/E3LfTfMcrp4 3:26
Google Docs Kupata Sasisho (Update) Upande Wa Muundo (Format)!

Wengi tunatumia huduma ya Google Doc sio? kuna kipya kimewezeshwa kupitia sasisho lake katika upande wa uundaji (Formatting). Hapa kampuni inakueletea njia rahisi kabisa ya kuhakikisha kuwa unahariri kazi yako kwa urahisi na uharaka zaidi tofauti na mwanzo. Sehemu ambazo zimefanyiwa sasisho  ni uwezo wa kuweza kuchagua machaguo mengi na kisha ukayahariri (edit) kwa pamoja....

The post Google Docs Kupata Sasisho (Update) Upande Wa Muundo (Format)! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/google-docs-kupata-sasisho-update-upande-wa-muundo-format/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=google-docs-kupata-sasisho-update-upande-wa-muundo-format
Playstation Baada Ya Kununua Bungie, Inasema Bado Itanunua Makampuni Mengi Zaidi!

Taarifa za hivi karibuni ni kwamba kampuni ya Playstation imenunua kampuni ya Bungie ambayo inamiliki gemu la Destiny. Kampuni ya Sony ambayo ndio inamiliki Playstation imeweka wazi kuwa inataka kutumia asilimia 49 ya bajeti ya maendeleo ya Playstation katika kuhakikisha kuwa wananunua makampuni mengi zaidi. Hii inamaanisha kuwa mpaka kufikia mwaka 2025 Sony kupitia Playstation...

The post Playstation Baada Ya Kununua Bungie, Inasema Bado Itanunua Makampuni Mengi Zaidi! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/playstation-baada-ya-kununua-bungie-inasema-bado-itanunua-makampuni-mengi-zaidi/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=playstation-baada-ya-kununua-bungie-inasema-bado-itanunua-makampuni-mengi-zaidi
Google Play Store Ya Kwenye Kompyuta Yapata Muonekano Mpya!

Google Play store ndio soko kubwa kabisa la App mbalimbali duniani kuzidi yote. Hii inatokana na kuwa na App nyingi kuliko masoko mengine. Muonekano huu unaonekana kuwa utaachiwa kote maana tayari umeshajaribiwa kwa kipindi cha muda mpaka sasa. Hili limetokea baada ya Google kuaona kuna ulazima wa kuleta maboresho ambayo kwa namna moja au nyingine...

The post Google Play Store Ya Kwenye Kompyuta Yapata Muonekano Mpya! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/play-store-ya-kompyuta-yapata-muonekano-mpya/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=play-store-ya-kompyuta-yapata-muonekano-mpya