Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
YouTubers Hii Inatufaa sana , Sony Xperia 1 Mark IV Review
#SonyXperia #Snashtz #Flagship

Apple Kuja Na Huduma Yao Ya Utafutaji (Search Engine)!
Apple ni moja kati ya kampuni kubwa inayojihusisha na mambo ya teknolojia, mara kwa mara kampuni hiyo imekua ikileta maboresho au ubunifu wa aina yake ili kujihakikishia inabaki kuwa juu. Kwa sasa inasemekana kuwa mtandao huo unakuja na huduma ya utafutaji (Search Engine), kumbuka kwa sasa huduma ya utafutaji maarufu ni kutoka katika mtandao wa...
The post Apple Kuja Na Huduma Yao Ya Utafutaji (Search Engine)! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/apple-kuja-na-huduma-yao-ya-utafutaji-search-engine/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=apple-kuja-na-huduma-yao-ya-utafutaji-search-engine

TeknoKona Teknolojia Tanzania
Apple Kuja Na Huduma Yao Ya Utafutaji (Search Engine)!
Apple ni moja kati ya kampuni kubwa inayojihusisha na mambo ya teknolojia, mara kwa mara kampuni hiyo imekua ikileta maboresho au ubunifu wa aina yake ili kuj
Uko Tayari Kwa Kamera Kwenye Saa Janja Kutoka Apple (Apple Watch)?
Apple wanazidi kuhakikisha kuwa wanatoa vifaa vilivyo bora na vinavyorahisisha maisha ya wateja wao wa kiasi kikubwa sana. Lakini je, tuko tayari katika kupata huduma ya kamera kwenye saa? kwa sasa kuna saa nyingi tuu ambazo zina huduma hii. Fikiria kutumia saa tuu yenyewe katika swala zima la kupiga picha moja kwa moja? kuna saa...
The post Uko Tayari Kwa Kamera Kwenye Saa Janja Kutoka Apple (Apple Watch)? appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/uko-tayari-kwa-kamera-kwenye-saa-janja-kutoka-apple-apple-watch/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=uko-tayari-kwa-kamera-kwenye-saa-janja-kutoka-apple-apple-watch

Apple wanazidi kuhakikisha kuwa wanatoa vifaa vilivyo bora na vinavyorahisisha maisha ya wateja wao wa kiasi kikubwa sana. Lakini je, tuko tayari katika kupa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Алексей (TikTok)
Meizu#лайкниэтовидео #подписка😍 #рекомендации❤️❤️🤪все #meizu #мастерская #tiktok #реееек #ремонтэлектроники #ремонттелефонов #рек #😎😎😎😎

Mauzo Katika Soko La Saa Janja (Smart Watch) Yameongezeka Katika Q1 Ya 2022!
Soko la saa janja limepanda kwa asilimia 13 toka mwezi januari mpaka machi 2022. Hii ikiwa ni ongezeko la 13% katika mauzo. Ni wazi kabisa kwamba saa janja kutoka Apple ndio zilizoongoza kwa mauzo katika mwaka 2021, hii inamaanisha kuwa mpaka sasa bado saa hizo kutoka Apple zipo kidedea. Taarifa zilizopo ni kwamba inasemekana kuwa...
The post Mauzo Katika Soko La Saa Janja (Smart Watch) Yameongezeka Katika Q1 Ya 2022! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/mauzo-katika-soko-la-saa-janja-smart-watch-yameongezeka-katika-q1-ya-2022/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=mauzo-katika-soko-la-saa-janja-smart-watch-yameongezeka-katika-q1-ya-2022

Soko la saa janja limepanda kwa asilimia 13 toka mwezi januari mpaka machi 2022. Hii ikiwa ni ongezeko la 13% katika mauzo. Ni wazi kabisa kwamba saa janja k
Apple Yatengeneza Pesa Nyingi Kupitia Magemu Kuliko Microsoft Na Nintendo!
Unaweza ukawa unajiuliza sana nap engine hata usiihusishe sana kampuni ya Apple na magemu (games) lakini ndio hvyo inategeneza hela nyingi tuu. Katika Ripoti ambayo imetoka ya mwaka 2021 inaonyesha Apple ikipata mauzo ya juu kabisa ukilingnaisha na makampuni kama vile Microsoft, Activision na Nintendo. Katika kipindi cha mwaka 2021 pekee kampuni ya Apple imeweza...
The post Apple Yatengeneza Pesa Nyingi Kupitia Magemu Kuliko Microsoft Na Nintendo! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/apple-yatengeneza-pesa-nyingi-kupitia-magemu-kuliko-microsoft-na-nintendo/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=apple-yatengeneza-pesa-nyingi-kupitia-magemu-kuliko-microsoft-na-nintendo

Unaweza ukawa unajiuliza sana nap engine hata usiihusishe sana kampuni ya Apple na magemu (games) lakini ndio hvyo inategeneza hela nyingi tuu. Katika Ripoti
Kivinjari Cha Safari Kutoka Apple Na Watumiaji Zaidi Ya Bilioni Moja!
Kivinjari cha Safari ni maarufu sana katika vifaa kutoka Apple, kwa sasa kina watumiaji zaidi ya bilioni moja duniani kote. Wengine wanasema kuwa namba hiyo ya idadi mbona ilifikiwa mapema tuu lakini ni kwamba kampuni haikutaka kuliweka hilo wazi. Kingine ambacho kimefanya namba hiyo kuongezeka sana ni kwamba kivinjari hicho ndio kivinjari mama– chaguo-kuu/chaguo-msingi (default...
The post Kivinjari Cha Safari Kutoka Apple Na Watumiaji Zaidi Ya Bilioni Moja! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/kivinjari-cha-safari-kutoka-apple-na-watumiaji-zaidi-ya-bilioni-moja/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=kivinjari-cha-safari-kutoka-apple-na-watumiaji-zaidi-ya-bilioni-moja

Kivinjari cha Safari ni maarufu sana katika vifaa kutoka Apple, kwa sasa kina watumiaji zaidi ya bilioni moja duniani kote. Wengine wanasema kuwa namba hiyo
FAHAMU KUHUSU KAMPUNI YA AMAZON NA HUDUMA ZAKE — TeknoKona Tanzania
https://youtu.be/Y8l3is7kRkY 2:44
https://youtu.be/Y8l3is7kRkY 2:44
YouTube
FAHAMU KUHUSU KAMPUNI YA AMAZON NA HUDUMA ZAKE
Video hii inakuelezea mengi kuhusu kampuni ya Amazon na huduma zake mbalimbali.
Kujifunza mambo mbali yahusuyo teknolojia na habari za mambo mapya, tembelea www.teknolojia.co.tz

BLOODHOUND - GARI LENYE REKODI YA KASI KUBWA ZAIDI DUNIANI — TeknoKona Tanzania
https://youtu.be/5cicH5nL3jI 2:19
https://youtu.be/5cicH5nL3jI 2:19
YouTube
BLOODHOUND - GARI LENYE REKODI YA KASI KUBWA ZAIDI DUNIANI
Bloodhound ni gari lilitengenezwa spesheli kwa ajili ya kuvunja rekodi ya dunia kwa kuwa gari lenye kasi kubwa zaidi.
Si gari unaloweza kuendesha kwenda nalo kitaa 😂...
Fahamu mengi kuhusu teknolojia za magari kwa kutembelea blog yetu - https://teknolo…
Si gari unaloweza kuendesha kwenda nalo kitaa 😂...
Fahamu mengi kuhusu teknolojia za magari kwa kutembelea blog yetu - https://teknolo…
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
BLOODHOUND - GARI LENYE REKODI YA KASI KUBWA ZAIDI DUNIANI
Bloodhound ni gari lilitengenezwa spesheli kwa ajili ya kuvunja rekodi ya dunia kwa kuwa gari lenye kasi kubwa zaidi.
Si gari unaloweza kuendesha kwenda nalo kitaa 😂...
Fahamu mengi kuhusu teknolojia za magari kwa kutembelea blog yetu - https://teknolojia.co.tz/teknolojia/magari/
Na kwa habari zingine za teknolojia tembelea https://teknolojia.co.tz

Google Meet Na Google Duo Kuunganishwa Kuwa Kitu Kimoja!
Google ina huduma nyingi sana, huduma za Duo na Meet ni huduma nzuri kutoka kwao za kuhakikisha kuwa watumiaji wanawasiliana kwa kupitia njia ya video. Inamaana kwa sasa hudumahii itakua katika mfumo wa mmoj atuu, kitakauchofanyika ni kwamba mgumo wote wa Google Duo utaenda katika Google Meet. Ndio! Kama ukitaka huduma ya Duo utaipata katika...
The post Google Meet Na Google Duo Kuunganishwa Kuwa Kitu Kimoja! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/google-meet-na-google-duo-kuwa-kitu-kimoja/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=google-meet-na-google-duo-kuwa-kitu-kimoja

Google ina huduma nyingi sana, huduma za Duo na Meet ni huduma nzuri kutoka kwao za kuhakikisha kuwa watumiaji wanawasiliana kwa kupitia njia ya video. Inama
MBINU 10 ZA KUKUONDOLEA AIBU — Newzfid
https://youtu.be/4vBhSVcajlM 8:43
https://youtu.be/4vBhSVcajlM 8:43
YouTube
MBINU 10 ZA KUKUONDOLEA AIBU
Aibu si kitu unachoweza kukiacha kirahisi.Hata hivyo inakupasa ufahamu,Kuwa na aibu si tatizo..Ndio..kwa taarifa yako, baadhi ya watu maarufu unaowafahamu wana AIBU: ukianza na Zendaya, Ed sheeran,Justin bieber. ..ndiyo najua Ni vigumu kumfikiria Justin Bieber…
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
MBINU 10 ZA KUKUONDOLEA AIBU
Aibu si kitu unachoweza kukiacha kirahisi.Hata hivyo inakupasa ufahamu,Kuwa na aibu si tatizo..Ndio..kwa taarifa yako, baadhi ya watu maarufu unaowafahamu wana AIBU: ukianza na Zendaya, Ed sheeran,Justin bieber. ..ndiyo najua Ni vigumu kumfikiria Justin Bieber kama mtu mwenye aibu Lakini kwa mujibu wake mwenyewe miaka kadhaa nyuma katika mahojiano na jarida la M alisema ana aibu sana hasa akiwa na wasichana
Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James

Apple Ilizuia Miamala Ya Dola Bilioni 1.5 Iliyotokana Na Ulaghai AppStore! #2021
Apple inaheshimika sana na sera yake ya ulinzi na usalama hasa katika vifaa na huduma zake. Hii imeifanya kampuni kijichukulia sifa nyingi ukiachana na kuaminika. Kampuni imeweka hili wazi kwa kutoa taarifa hiyo, Kwa haraka haraka kampuni inasema imefanikiwa kuzuia zaidi ya dola bilioni tano kuibwa katika soko lake maarufu la App sababu zikiwa ni...
The post Apple Ilizuia Miamala Ya Dola Bilioni 1.5 Iliyotokana Na Ulaghai AppStore! #2021 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/apple-ilizuia-miamala-ya-dola-bilioni-1-5-iliyotokana-na-ulaghai-appstore-2021/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=apple-ilizuia-miamala-ya-dola-bilioni-1-5-iliyotokana-na-ulaghai-appstore-2021

Apple inaheshimika sana na sera yake ya ulinzi na usalama hasa katika vifaa na huduma zake. Hii imeifanya kampuni kijichukulia sifa nyingi ukiachana na kuaminik