Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.52K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KWANINI INAANZA 'LOCAL DISK C' NA SIO A?
Nadhani leo tuko na swali ambalo sembuse asilimia 90 ya tunaotazama episode hii hatujui jibu lake right? KWANINI WINDOWS INAANZA NA LOCAL DISK C: NA SIO Herufi A au herufi B?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Twitter yatozwa faini ya $150m (bilioni 349 Tsh) kwa kuuza data ya watumiaji

Twitter yatozwa faini ya $150m nchini Marekani baada ya maafisa wa kutekeleza sheria kuishutumu kwa kutumia kinyume cha sheria data za watumiaji kusaidia kuuza matangazo yaliyowalenga. Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) na Idara ya Haki wanasema Twitter ilikiuka makubaliano iliyokuwa nayo na wadhibiti, hati za korti zilionyesha.Twitter iliapa kutotoa taarifa za kibinafsi kama vile...

The post Twitter yatozwa faini ya $150m (bilioni 349 Tsh) kwa kuuza data ya watumiaji appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/twitter-yatozwa-faini-ya-150m-bilioni-349-tsh-kwa-kuuza-data-ya-watumiaji/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=twitter-yatozwa-faini-ya-150m-bilioni-349-tsh-kwa-kuuza-data-ya-watumiaji
Ni Rahisi Sana App Za Magemu Kupata Nafasi Za Juu Kuliko App Zingine Huko App Store! #2022

Kulingana na taarifa ambazo zimetoka kwa watafiti na wachanganuzi kutoka katika kampuni ijulikanayo kama Sensor Tower, ni kwamba kuna ugumu katika App za kawaida kupata nafasi za juu ukilinganisha na App za magemu katika soko la App Store. Mpaka App yoyote ishike nafasi za juu kama vile katika kumi bora kuna mambo mengi ambayo yanazingatiwa...

The post Ni Rahisi Sana App Za Magemu Kupata Nafasi Za Juu Kuliko App Zingine Huko App Store! #2022 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/ni-rahisi-sana-app-za-magemu-kupata-nafasi-za-juu-kuliko-app-zingine-huko-app-store-2022/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=ni-rahisi-sana-app-za-magemu-kupata-nafasi-za-juu-kuliko-app-zingine-huko-app-store-2022
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ambayo simu yako itatuma Mesage Automatic kwa Mpenzi wako au Rafiki Bila kushika simu #simukitaa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU KIZZ DANIEL
#kizzdaniel #buga
Kizz Daniel ambae kwa sasa anatamba na BUGA ft. Tekno ni mmoja wa wasanii mahiri katika tasnia ya muziki kutokea Nigeria na ameshinda tuzo nyingi na kutambuliwa kimataifa....

0:00​ | Introduction
0:36​ | Historia ya Kizz Daniel
1:21​ | Mziki,shule na ombi la baba yake
2:13​ | Kiss Daniel Hit song
2:54 | Mchango wa bosi wake kwenye Woju
3:46 | Urafiki wa karibu na baba yake mzazi
4:47​ | Kuvunja mkataba kama Harmonize na Wizkid
5:38​ | Sababu ya Kizz Daniel kuvunja mkataba na G worldwide
6:19 | Wimbo wa Kizz Daniel Buga
6:53​ | Kizz daniel anachukiwa Nigeria
7:46​ | Mapacha wa Kizz Daniel

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Mambo ya Kuangalia Wakati Adobe Premiere Pro Inapokwama kwama
Katika Video hii nimeelekeza mambo ya kuyafanya ndani ya Adobe Premeire Pro ambayo yataondoa ama kukwama kwama kwa Premiere Pro unapofanya Editing

Premium Courses https://richstartz.gumroad.com/

FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz​
Twitter: https://twitter.com/richstartz​
Facebook: https://facebook.com/richstatz​
Email: rmaguluko@gmail.com