Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU KIZZ DANIEL
#kizzdaniel #buga
Kizz Daniel ambae kwa sasa anatamba na BUGA ft. Tekno ni mmoja wa wasanii mahiri katika tasnia ya muziki kutokea Nigeria na ameshinda tuzo nyingi na kutambuliwa kimataifa....

0:00​ | Introduction
0:36​ | Historia ya Kizz Daniel
1:21​ | Mziki,shule na ombi la baba yake
2:13​ | Kiss Daniel Hit song
2:54 | Mchango wa bosi wake kwenye Woju
3:46 | Urafiki wa karibu na baba yake mzazi
4:47​ | Kuvunja mkataba kama Harmonize na Wizkid
5:38​ | Sababu ya Kizz Daniel kuvunja mkataba na G worldwide
6:19 | Wimbo wa Kizz Daniel Buga
6:53​ | Kizz daniel anachukiwa Nigeria
7:46​ | Mapacha wa Kizz Daniel

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James