MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU BAKHRESA β Newzfid
https://youtu.be/ztq4vgVWkU0 8:45
https://youtu.be/ztq4vgVWkU0 8:45
YouTube
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU BAKHRESA
#Bakhresa #Azam
Said Salimu Bakhresa,mwasisi wa chapa ya Azam round hii anatafutwa sana mitandaoni baada ya Harmonize kuimba wimbo kumhusu
0:00β | Introduction
0:56β | Historia ya Bakhresa
1:34β | Biashara za kwanza za Bakhresa
2:19β | Kuja kwa Azam
3:13β¦

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU BAKHRESA
#Bakhresa #Azam
Said Salimu Bakhresa,mwasisi wa chapa ya Azam ni mfanyabiashara mwenye mafanikio na uzoefu wa zaidi ya miaka 50 wa kusimamia biashara.
0:00β | Introduction
0:56β | Historia ya Bakhresa
1:34β | Biashara za kwanza za Bakhresa
2:19β | Kuja kwa Azam
3:13 | Ukubwa wa Bakhresa Group
3:54 | watoto wa Bakhresa
4:41β | Kifo cha mtoto mmoja wa Bakhresa
5:β25 | Yusuf Bakhresa
6:09 | Bakhresa ana kampuni ya mawasiliano ya simu?
6:43 | Thamani ya utajiri wa Bakhresa (Bakhresa Networth)
7:56β | Funzo kutokea stori ya maisha ya Bakhresa
Jinsi ya kujiunga na kozi yangu ya YouTube masterclass
(1) Lipia Tsh.10,000 kwenda MPESA 0768712711 (James Chungu)
(2) Utatumiwa username na password baada ya malipo
(3) Tembelea https://course.afrojuke.com kisha login kwa kutumia username na password uliyotumiwa

Uwezekano wa kuonyesha kuwa umependezwa na kitu kwenye WhatsApp Desktop
WhatsApp Desktop imekuwa mkombozi wa watu wengi ambao kutokana na sababu mbalimbali inakuwa rahisi kwetu kujibu jumbe kwa kupitia kwenye kompyuta hivyo kuifanya simu janja kwenda likizo ya muda π π . Maboresho kadha wa kadha yameshafanyika kwenye WhatsApp Desktop (web) na bado tuu inaendelea kuwekwa vitu vizuri. Sisi ambao tunapenda kufahamu mengi pale tunapotumia...
The post Uwezekano wa kuonyesha kuwa umependezwa na kitu kwenye WhatsApp Desktop appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/uwezekano-wa-kuonyesha-kuwa-umependezwa-na-kitu-kwenye-whatsapp-desktop/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=uwezekano-wa-kuonyesha-kuwa-umependezwa-na-kitu-kwenye-whatsapp-desktop

TeknoKona Teknolojia Tanzania
Uwezekano wa kuonyesha kuwa umependezwa na kitu kwenye WhatsApp Desktop
WhatsApp Desktop imekuwa mkombozi wa watu wengi ambao kutokana na sababu mbalimbali inakuwa rahisi kwetu kujibu jumbe kwa kupitia kwenye kompyuta hivyo kuifanya
Chaji ya simu janja inayojaza umeme kwa robo saa tu
Kwnye dunia ya leo makampuni mengi ambayo yapo kwenye ushindani yanapambana kuweza kuja na bidhaa ambazo zitavutia wateja wengi. Hivi nikuulize unajisikiaje ukiwa na chaji ambayo inajaza betri ndani ya robo saa tu? Oppo ni moja ya kampuni ambayo inatoa simu janja za kuvutia lakini pia zenye sifa zilizoshiba. Mbali na hilo wamekuwa wakiweka nguvu...
The post Chaji ya simu janja inayojaza umeme kwa robo saa tu appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/chaji-ya-simu-janja-inayojaza-umeme-kwa-robo-saa-tu/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=chaji-ya-simu-janja-inayojaza-umeme-kwa-robo-saa-tu

Kwnye dunia ya leo makampuni mengi ambayo yapo kwenye ushindani yanapambana kuweza kuja na bidhaa ambazo zitavutia wateja wengi. Hivi nikuulize unajisikiaje uki
Thamani ya Meta (Facebook) yashuka kwenye soko la hisa
Kwa mujibu wa sheria kwenye nchi nyingi tuu ni lazima kampuni zisajiliwe kwenye soko la hisa ili kutoa fursa kwa wananchi kuweza kununua hisa na kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni husika. Meta ambayo hapo awali iliitwa Facebook imekuwepo kwenye soko la hisa kwa miaka mingi tuu ambapo thamani yake ilikuwa ikifikia $1 trilioni lakini...
The post Thamani ya Meta (Facebook) yashuka kwenye soko la hisa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/thamani-ya-meta-facebook-yashuka-kwenye-soko-la-hisa/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=thamani-ya-meta-facebook-yashuka-kwenye-soko-la-hisa

Kwa mujibu wa sheria kwenye nchi nyingi tuu ni lazima kampuni zisajiliwe kwenye soko la hisa ili kutoa fursa kwa wananchi kuweza kununua hisa na kuwa sehemu ya
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
KAZI IENDELEEβ¦!
Tanzania Communications Regulatory Authority tunataka muzifungie page zote chafu sio kuadhimisha maazisho yasiyo ya LAZIMA Kwa kumfurahisha mtu mmoja kazi iendelee Kwa hizo blogg na mapage machafu ya insta na Facebook

Usifikirie Kununua / Porsche GT3 Mpya 2022 Review β Snashtz
https://youtu.be/wrBEEIaU618 5:59
https://youtu.be/wrBEEIaU618 5:59
YouTube
Usifikirie Kununua / Porsche GT3 Mpya 2022 Review
#PorscheGT3 #Snashtz
Usifikirie Kununua / Porsche GT3 Mpya 2022 Review
Usifikirie Kununua / Porsche GT3 Mpya 2022 Review
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Usifikirie Kununua / Porsche GT3 Mpya 2022 Review
#PorscheGT3 #Snashtz
Usifikirie Kununua / Porsche GT3 Mpya 2022 Review
Usifikirie Kununua / Porsche GT3 Mpya 2022 Review
#PorscheGT3 #Snashtz
Usifikirie Kununua / Porsche GT3 Mpya 2022 Review
Kabla ujanunua simu zingatia mambo Aya !!! β Bongotech255
https://youtu.be/R7f64jhbFjI 4:55
https://youtu.be/R7f64jhbFjI 4:55
YouTube
Kabla ujanunua simu zingatia mambo Aya !!!
Watu wengi wamekua na tabia ya kutaka kumiliki simu ila changamoto wakifika dukani au kwa mtu wanashindwa kujua mambo Gani wazingatie wapate simu iliyobora kwao!!
Tizama iyo video utajifunza jambo
Teknolojia ni Yetu sote β
#swahilitech #simu #maujanjaβ¦
Tizama iyo video utajifunza jambo
Teknolojia ni Yetu sote β
#swahilitech #simu #maujanjaβ¦
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Kabla ujanunua simu zingatia mambo Aya !!!
Watu wengi wamekua na tabia ya kutaka kumiliki simu ila changamoto wakifika dukani au kwa mtu wanashindwa kujua mambo Gani wazingatie wapate simu iliyobora kwao!!
Tizama iyo video utajifunza jambo
Teknolojia ni Yetu sote β
#swahilitech #simu #maujanja #bongotech255

Kivinjari (Browser) Maalum kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu
Katika kukaribia kipindi hiki cha mwezi wa ramadhani kama wewe ni mmoja wa Waumini wa Dini ya Kiislamu basi ni muhimu kusoma makala hii. Sasa kama ulikuwa hujui, kuna aina mpya ya browser ambayo imetengenezwa maalum kwa waumini wa dini ya kiislamu. Browser hiyo au kivinjari hicho kinakupa uwezo wewe muslamu kufanya mambo mbalimbali ambayo [β¦]
https://www.tanzaniatech.one/2022/03/browser-maalum-kwa-waislamu/

Tanzania Tech
Kivinjari (Browser) Maalum kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu
Kama wewe ni Muislamu basi soma hapa kujua kuhusu browser mpya ambayo ni maalum kwa waumini wa dini ya kiislamu, Soma hapa kujua zaidi.
Tumia Simu Yoyote Android Kwa Haraka (Mkono Mmoja)
Kadri siku zinavyokwenda ndio simu zinazidi kuwa kubwa hasa kwenye upande wa kioo, hii inafanya inakuwa ni ngumu sana kutumia simu kwa mkono mmoja, kuliona hili leo Tanzania Tech tumekuletea njia rahisi ya kutumia simu yoyote ya Android kwa urahisi kwa mkono mmoja. Njia hii ni rahisi sana na inaweza kumsaidia mtu yoyote kuweza kutumia [β¦]
https://www.tanzaniatech.one/2022/03/tumia-simu-kwa-mkono-mmoja/

Kama unamiliki simu yenye kioo kikubwa basi soma hapa kujua jinsi ya kutumia simu yoyote ya Android kwa mkono mmoja kwa urahisi na haraka.
Tovuti Zinazoweza Kukusaidia kupata Msaada wa Kifedha
Ni wazi kuwa kila mmoja wetu hajajitosheleza na kuna wakati unapitia magumu kiasi kwamba unatamani kuomba msaada kwa jamii kwa sababu ya kushindwa kabisa kutoka kwenye hali uliyopo. Kama wewe ni mmoja wa watu wanao pitia hali ngumu ya maisha kwa sasa basi usikate tamaa kwani makala hii inaweza kukusaidia kwa namna moja ama nyingine. [β¦]
https://www.tanzaniatech.one/2022/03/msaada-wa-kifedha/

Tovuti Zinazoweza Kukusaidia kupata Msaada wa Kifedha - Tanzania Tech Kiswahili
Kama wewe ni mmoja wa watu wenye uhitaji wa msaada wa kifedha basi zifahamu tovuti ambazo zinaweza kukusaidia kupata msaada huo.