Hizi Hapa Apps ambazo ni Mbadala wa Soko la Play Store
Ukweli ni kwamba kuna watu wengi sana wanaotumia simu za Android ambazo hazina uwezo wa kupakua programu kutoka soko la play store. Hii inafanya watu wengi kushindwa kupakua kwa haraka programu za muhimu au kukosa update za programu hizo kwa wakati. Kuliona hili leo nimekuletea list ya masoko ya apps ambayo yatakusaidia kupakua apps za [β¦]
https://www.tanzaniatech.one/2022/03/masoko-ya-apps/

Tanzania Tech
Hizi Hapa Apps ambazo ni Mbadala wa Soko la Play Store
Kama unashindwa kupakua app kupitia soko la Play Store basi usijali kwani hizi hapa app ambazo ni mbadala wa soko la Play Store.
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU ROMAN ABRAMOVICH β Newzfid
https://youtu.be/LwmHImFyIjM 8:13
https://youtu.be/LwmHImFyIjM 8:13
YouTube
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU ROMAN ABRAMOVICH
#Abramovich #chelsea
Roman Abramovich - bilionea anayejulikana kwa kuleta mapinduzi ya soka katika karne ya 21 baada ya kununua Klabu ya Soka ya Chelsea kuna sitofahamu kede kede juu ya utajiri wake
0:00β | Introduction
0:52β | Historia ya Abramovich
1:36ββ¦

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

1:36β | Biashara yake ya kwanza ya ujasiriamali
2:20β | Abramovich na biashara za magendo
3:13 | Roman Abramovich na wanasiasa Urusi
3:50 | Utajiri wa Abramovich
4:47 | Uhusiano wa Abramovich na raisi Putin
5:27β | Abramovich Kununua Chelsea mwaka 2003
6:04 | Putin anahusikaje kwenye ununuzi wa Chelsea?
6:55β | Boti na ndege ya Abramovich
7:36β | Kwanini Abramovich awekewa Vikwazo?
Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James

Jinsi ya Kuondoa Background Kwenye Picha Bila App Yoyote
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao hutumia muda mwingi kuedit picha zako basi leo nimekuandalia maujanja rahisi sana ambayo unaweza kutumia kuweza kuondoa background kwenye picha zako bila kutumia programu yoyote. Njia hii ni rahisi sana na uhitaji kuwa na ujuzi wowote bali unacho hitaji ni kuwa na simu yako au kuwa na kompyuta. [β¦]
https://www.tanzaniatech.one/2022/03/kuondoa-background/

Jifunze maujanja ya jinsi ya kuondoa background kwenye picha zako kwa urahisi bila kutumia programu au application yoyote.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
ITU has announced the list of nominated projects, some of which are from Tanzania. The public/ WSIS stakeholders are encouraged to cast their votes by 31 March 2022 to increase the chances for Tanzanian projects to win.
To Vote, click link https://www.itu.int/net4/wsis/stocktaking/Account/Login?ReturnUrl=%2Fnet4%2Fwsis%2Fstocktaking%2FPrizes%2F2022%2FVote to register into WSIS platform under WSIS PRIZEZ 2022.

Tumia internet ya Bure kwenye simu yako 2022 bila kuwa na mb ? β Bongotech255
https://youtu.be/lsE6DfVeXi0 3:28
https://youtu.be/lsE6DfVeXi0 3:28
YouTube
Tumia internet ya Bure kwenye simu yako 2022 bila Bando ?
Sasa unaweza kutumia internet bila kuwa na mb yoyote na kuperuzi sehemu mbalimbali Yani una haja ya kuwa na mb wewe tu na simu yako tizama sasa
Subscribe for more videos
Tuachie maoni yako umefanikiwa au lah ?
Jiunge nasi telegram π₯ππ
https://t.me/bongoTechs255
Subscribe for more videos
Tuachie maoni yako umefanikiwa au lah ?
Jiunge nasi telegram π₯ππ
https://t.me/bongoTechs255
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Tumia internet ya Bure kwenye simu yako 2022 bila kuwa na mb ?

Umuhimu wa Kurestart Simu Yako Angalau Mara 1 kwa Wiki
Ni wazi kuwa smartphone zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku kiasi kwamba pale simu yako inapokuwa imezima angalau kwa dakika chache unakuwa na wasiwasi wa kushindwa kufanya mambo yako ya kila siku. Lakini ni kweli kwamba βkila kitu huchokaβ nahisi hii ni sababu ya wewe kuendelea kusoma makala hii kama unataka kujua kwanini [β¦]
https://www.tanzaniatech.one/2022/03/restart-simu/

Soma hapa kujua kwanini ni muhimu sana kuakikisha una restart simu yako angalau mara moja kila wiki, soma hapa kujua zaidi.
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU FOA YA DIAMOND PLATNUMZ β Newzfid
https://youtu.be/DxOgijVz4fA 8:21
https://youtu.be/DxOgijVz4fA 8:21
YouTube
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU FOA YA DIAMOND PLATNUMZ
#DiamondPlatnumz #FOADiamond Platnumz ameachia Debut Extended Play au waweza kusema Ep yake ya kwanza iitwao First of All kifupisho FOA.FOA inayojumuisha nyi...