Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.54K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Mambo ya kushangaza kuhusu Google Chrome mwaka 2022
Kuna mambo mengi ya kushangaza yanapatikana ndani ya Google chrome ila watu hawayajui Leo nakuletea majaabu ya mambo matatu yanapatikana ndani ya Google chrome

Please subscribe like comment na share for more videos

Join our telegram channel
https://t.me/bongoTechs255

#bongo #swahili #googlechrome
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Kwa maelezo zaidi kuhusu Kikoa cha Dot TZ (Dot TZ Domain), tafadhali tembelea https://karibu.tz
Ndege kubwa kuliko zote duniani imeharibiwa nchini Ukraine

Ndege kubwa kuliko zote duniani, Antonov AN-225, imeharibiwa wakati wa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, kulingana na maafisa wa Ki- Ukraine, na kusababisha wasiwasi na huzuni katika ulimwengu wa anga. Ndege hiyo kubwa iliyopewa jina la β€œMriya,” au β€œndoto” kwa Kiukreni, iliegeshwa katika uwanja wa ndege karibu na Kyiv wakati iliposhambuliwa na β€œwakazi wa Urusi,”...

The post Ndege kubwa kuliko zote duniani imeharibiwa nchini Ukraine appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/ndege-kubwa-kuliko-zote-duniani-imeharibiwa-nchini-ukraine/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=ndege-kubwa-kuliko-zote-duniani-imeharibiwa-nchini-ukraine
Zuia Bando Kuisha Unapo Angalia Video Kupitia YouTube

Ni wazi kuwa YouTube ni mmoja ya mtandao maarufu wa kuangalia video za kuelimisha, kuburushi na kufurahisha. Lakini pia kutokana na gharama za vifurushi ni rahisi sana kuishiwa bando kwa haraka pale unapo angalia video kupItia YouTube App. Kuliona hili leo nimekuletea njia mpya ambayo natumaini inaweza kusaidia sana kuweza kupunguza matumizi makubwa ya data […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/zuia-bando-kuisha-youtube-app/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bofya link iliyowekwa kwenye Bio ili kujaza fomu ya kujisajili kwenye shindano la Umahiri wa TEHAMA kwa Wasichana litakalo ambatana na Maadhimisho ya Siku ya TEHAMA kwa Wasichana (Girls in ICT), Tarehe 28 Aprili, 2022.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bofya link iliyowekwa kwenye Bio ili kujaza fomu ya kujisajili kwenye shindano la Umahiri wa TEHAMA kwa Wasichana litakalo ambatana na Maadhimisho ya Siku ya TEHAMA kwa Wasichana (Girls in ICT), Tarehe 28 Aprili, 2022.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Fahamu historia ya Emoji Duniani
Fahamu historia fupi kuhusu Emoji ambazo tunazitumia kwenye simu zetu au kompyuta !!!
Jinsi ya Kuwa na Mixer ya Muziki Kwenye Simu ya Android

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapendelea muziki na kama unataka kuwa na mixer ya muziki kupitia simu yako ya Android basi makala hii ni maalum kwa ajili yako. Kupitia makala hii ambayo ni sehemu ya kwanza nita onyesha jinsi ya kuwa na Mixer kwenye simu yako ya Android. Kumbuka hii ni sehemu ya […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/mixer-kwenye-android/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya Kuwa na Studio Kwenye Simu (#1 Mixer ) #Maujanja 137
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kuwa na Studio kwenye simu yako ya Android basi una angalia video sasa. Kupitia video hii ambayo ni sehemu ya kwanza nita onyesha jinsi ya kuwa na Mixer kwenye simu yako ya Android. Kumbuka hii ni sehemu ya kwanza na tutaendelea hadi kufikia hatua ya kuwa na studio ndogo kwenye simu yako na niamini kuwa hii inafanya kazi kwa asilimia 100.

LINK MAALUM

1. Download App Hapa - https://url.tanzaniatech.one/1TA

2. Kwa Maujanja Zaidi - https://www.youtube.com/watch?v=qd3gytOXdv0&list=PL_1sa83-nSC2xUNegYWP8yY-l1JgQO1me

3. Fanya Maujanja Faster Ndani ya Dakika Moja - https://www.youtube.com/watch?v=Gp6H79pnOks&list=PL_1sa83-nSC1bqADV4IwFPIoNlvpJ7scF

4. Fahamu Zaidi Hapa - https://url.tanzaniatech.one/Ip1

FOLLOW US

1. TikTok - https://www.tiktok.co ...