Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.54K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

How to Setup RTMP Live Streaming in Telegram
In Beta-version of Telegram for Telegram Desktop, macOS and Linux, now allows to broadcast using third-party programs, such as OBS Studio.
In order to start a broadcast, Telegram provides a server URL and stream key, which must be entered into the corresponding parameters when configuring the program for the broadcast.

Social Media Handles
=================================
Telegram Group: https://Telegram.me/InFoTel_Group
Telegram Channel: https://Telegram.me/Tginfotel
Facebook: https://www.facebook.com/Infotelbot
Website: www.infotelbot.com
=======================
Join to this channel to access amazing perks:
https://www.youtube.com/channel/UCLY4kbZ2IQXbph4S54Z-JnA/join
=======================
Subscribe! It's free!!
=======================
#InFoTel #Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Kwa maelezo zaidi kuhusu Kikoa cha Dot TZ (Dot TZ Domain), tafadhali tembelea https://karibu.tz
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Kwa maelezo zaidi kuhusu Kikoa cha Dot TZ (Dot TZ Domain), tafadhali tembelea https://karibu.tz
SWIFT ni nini na Urusi kutengwa kutumia huduma za SWIFT kuna maana gani?

SWIFT, au Society for Worldwide Interbank Financial Telecommunication, ni mtandao salama wa kimataifa wa kutuma ujumbe ambao benki hutumia kufanya malipo yanayovuka mipaka. Mtandao huo unarahisisha taasisi za kifedha kusambaza pesa kwa kila mmoja, na kusaidia kuhakikisha kuwa biashara za kimataifa inaendelea vizuri. Inatumiwa na zaidi ya taasisi za fedha 11,000 katika nchi na maeneo...

The post SWIFT ni nini na Urusi kutengwa kutumia huduma za SWIFT kuna maana gani? appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/swift-ni-nini-na-urusi-kutengwa-kutumia-huduma-za-swift-kuna-maana-gani/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=swift-ni-nini-na-urusi-kutengwa-kutumia-huduma-za-swift-kuna-maana-gani
Jinsi ya Kupata Views na Likes Nyingi Instagram Kupitia Font

Instagram ni moja kati ya mtandao ambao kwa sasa ni sehemu muhimu sana ya kutafuta masoko kwa kampuni yoyote au biashara yoyote binafsi. Siku chache zilizopita tulizingumzia njia ya kutengeneza matangazo bora ambayo yanaweza kusaidia kupata wateja zaidi kupitia mtandao wa Instagram. Lakini pamoja na hayo, kutengeneza matangazo bora pekee haitoshi kwani watu wengi hutumia […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/like-instagram-kupitia-font/
Apple yaombwa kuacha kuuza vitu Urusi na kufunga App Store

Dunia nzima inafahamu kinachoendelea nchini Ukraine na namna gani wananchi wake wanavyotaaibka kutokana na kilichowakumba. Katika kuishinikiza Urusi iache vita na Apple waombwa kufunga App Store. Inapotokea vita wananchi, shughuli za maendeleo na mambo megine mengi tuu yanaathirika na hivyo kusababisha uharibifu wa vitu, makazi lakini mbaya zaidi kushuka kwa uchumi kutokana na kwamba hakuna...

The post Apple yaombwa kuacha kuuza vitu Urusi na kufunga App Store appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/apple-yaombwa-kuacha-kuuza-vitu-urusi-na-kufunga-app-store/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=apple-yaombwa-kuacha-kuuza-vitu-urusi-na-kufunga-app-store
Twitter yaruhusu kipengele cha kutoa angalizo kuhusu chapisho

Twitter imekuwa ni miongoni mwa mitandao ya kijamii ambayo inafanyiwa maboresho ya mara kwa mara kutokana na sababu mbalimbali kitu ambacho kinaifanya kuwa ya kitofauti. Je, unafahamu kuhusu uwezo wa kutoa angalizo kuhusu chapisho? Mtandao wa kijamii wa Twitter si kivutio kibwa cha vijana wengi duniani lakini ukiwa mtumiaji wa mara kwa mara basi utaona...

The post Twitter yaruhusu kipengele cha kutoa angalizo kuhusu chapisho appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/twitter-yaruhusu-kipengele-cha-kutoa-angalizo-kuhusu-chapisho/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=twitter-yaruhusu-kipengele-cha-kutoa-angalizo-kuhusu-chapisho