Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

Je, unatamani kuchapisha kitu kirefu zaidi kwenye Twitter?
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na Watoa Huduma za Mawasiliano ya Simu,imetoa semina ya kuhamasisha matumizi salama ya mitandao kwa maafisa TEHAMA kutoka Halmashauri za Mkoa wa Dodoma na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, tarehe 3 Februari, 2022 katika Ofisi za TCRA Kanda ya Kati.

Watumiaji wote wa Mawasiliano wanao wajibu wa kutumia huduma za Mawasiliano kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo, pia wanayo haki ya kupata huduma bora za Mawasiliano.
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kuifahamu sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015.

https://zcu.io/3umr
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu vifaa vya kuwa navyo na mambo ya kuzingatia unapokuwa na kamera.

https://zcu.io/dnxT
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JIFUNZE EXCEL KUTOKEA ZIRO
JIFUNZE EXCEL KUTOKEA ZIRO

Kujiunga na masomo yetu, tumia App yetu : https://nkitlessonscenter.glideapp.io/
-------------------------
Au jaza fomu hii kujiunga na masomo yetu: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5Dv9
--------------------------
Link ya video hii: https://youtu.be/I_kkxtJDiPU
---------------------------------------------------------
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5Dv9
Kuwasiliana nasi:
https://myurls.co/nk
Channel yetu mpya ya Photoshop Skills:
https://www.youtube.com/channel/UCA0A48f6WXwm-vlzATamLeA
-------------------------------------------------------
Pia unaweza kutazama:
- Zuia virusi kula mafaili yako bila ya Anti virus yoyote
https://www.youtube.com/watch?v=_y2p_5icmeU&t=1s
- Mchezee rafiki yako izime pc yake kila anapoiwasha
https://www.youtube.com/watch?v=lbUcfjx2R5k&t=1s
- Jinsi ...
TeknoKona (Facebook)

Jinsi ambavyo WhatsApp Web inavyoboreshwa kufanana na nduguze.
TeknoKona (Facebook)

Samsung Galaxy Z Flip 5G polepole zimeanza kupokea mazuri yanayopatikana kwenye Android 12.
TeknoKona (Facebook)

Sura mpya ya YouTube iliyolenga kurahisisha mambo wakati wa kuangalia kilichochapishwa kwenye chaneli husika.
TeknoKona (Facebook)

Google imeona ni vyema kusogeza msaada karibu ili kusaidia watu.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

“Pamoja kwa Mtandao Bora”

#8/2/2022