Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na Chuo cha Ustawi wa Jamii - ISW na Jeshi la Polisi Tanzania, wameandaa na kutoa Semina kwa Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii kilichopo Kijitonyama, Dar es salaam; kwa lengo la kuwapa wanafunzi elimu ya matumizi stahiki na salama ya mawasiliano hasa mitandao ya kijamii. Zaidi ya wanafunzi 350 walifikiwa katika semina hii. @wizarahmth @nape_nnauye @isw_official_tz @polisi.tanzania
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KIVIPI NCHI TAJIRI NAZO ZINA MADENI? ๐Ÿ˜จ๐Ÿ˜จ
Kila leo tunasikia habari juu ya Deni la taifa, kwa Tanzania hoja binafsi juu ya deni la taifa ilipelekea spika wa Bunge Job Ndugai kujiuzulu..Lakini kitu wengi tunasahau ni kuwa hata nchi tajiri zina madeni, tena ndo zinazoongoza kwa madeni ingawa uwiano na GDP yao huwapa uhaueni.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kuzifahamu emoji zinazotumika zaidi pamoja na maana zake

https://zcu.io/0FeG
TeknoKona (Facebook)

โ€œSpywareโ€ ni programu ya kupeleleza iliyotengenezwa kwa nia ya kuingizwa kwenye kompyuta yako, kukusanya taarifa zako na kuzisambaza kwa mtu mwingine. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/LEdW
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
InFoTel - Telegram
How To Convert Telegram Video To Animated Sticker

Telegram Animated Sticker
Telegram added support for stickers converted from regular videos, so that anyone can easily create detailed animated stickers using any video editing program. you can publish your packs with the @Stickers bot.

NB: Update Telegram

Social Media Handles
=================================
Telegram Group: https://Telegram.me/InFoTel_Group
Telegram Channel: https://Telegram.me/Tginfotel
Facebook: https://www.facebook.com/Infotelbot
Website: www.infotelbot.com
=======================
Join to this channel to acces amazing perks:
https://www.youtube.com/channel/UCLY4kbZ2IQXbph4S54Z-JnA/join
=======================
Subscribe! It's free!!
=======================
#InFoTel #Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na Chuo cha Ustawi wa Jamii - ISW na Jeshi la Polisi Tanzania, wameandaa na kutoa Semina kwa Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii kilichopo Kijitonyama, Dar es salaam; kwa lengo la kuwapa wanafunzi elimu ya matumizi stahiki na salama ya mawasiliano hasa mitandao ya kijamii. Zaidi ya wanafunzi 350 walifikiwa katika semina hii.

@wizarahmth

@nape_nnauye

@isw_official_tz

@polisi.tanzania

ukiwa unaendelea kupata elimu hiyo, ongezea na hii https://youtu.be/AJ5ZoJmw__Y
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bambo la Mtaa Alhamisi hii, tarehe 3 Februari, 2022๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ

Ni kupitia chaneli ya Clouds Tv, kuanzia saa mbili na nusu usiku (2:30).
USIKOSE!
TeknoKona (Facebook)

Fahamu kuhusu kompyuta za magemu na sifa zake kwa kusoma makala hii.

https://zcu.io/IXGV
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu siri iliyopo kwenye utengenezaji wa mashine mbalimbali pamoja na vifaa vya kielektroniki.

https://zcu.io/wrk8
TeknoKona (Facebook)

Jina "BlackBerry" bado linahitajika kwenye ushindani wa simu janja.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JET LI ALIPOTELEA WAPI
#JetLi #kungfu #movies
Jet li ni mmoja wa watu mashuhuri katika tasnia ya filamu za Martial art. Kwa wale ambao hawakukulia kwenye kipindi cha filamu za kung fu, Jet li ni nguli wa filamu hizo kama walivyo waigizaji wengine kama Jackie chan na Donnie Yen. Katika episode hii tunakwenda kujua Jet li alipotelea wapi na yu wapi sasa?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James