Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JINSI SIMU INAVYOWEZA KUOKOA MAISHA YAKO
hivi unajua Kuna wakati simu inaweza kuokoa maisha yako pale unapopatwa na shida au changamoto fulani na ukashindwa kuzungumza.

basi tumia simu yako kukupa msaada wa harakaa sana ✊.

#simu #swahili #bongo #bongotech
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Usikose kufuatilia mahojiano haya mubashara kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Alhamisi tarehe 27 Januari, 2022 kuanzia saa...
TeknoKona (Facebook)

Vifaa vya kielektroniki vinavyotumia umeme wa jua vinaweza kuwa msaada pale inapotokea shida ya umeme. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaid https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Tumia mitandao ya kijamii kwa tija ili kujiepusha na msongo wa mawazo. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bofya link https://youtu.be/w8X1TsKatt8 iliyopo kwenye Bio kufuatilia mahojiano maalumu baina ya Mtangazaji Masoud Kipanya na Mkurugenzi wa Shule Direct Mrs. Faraja Nyalandu, kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
TeknoKona (Facebook)

Heri ya Siku ya kuzaliwa

Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tunakutakia afya njema

#KaziIendelee
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bofya link https://youtu.be/w8X1TsKatt8 iliyopo kwenye Bio kufuatilia mahojiano maalumu baina ya Mtangazaji Masoud Kipanya na Mkurugenzi wa Shule Direct Mrs. Faraja Nyalandu, kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Kwa bei zenu hizo za bando nan afatilie bora nisikilize evening glory kwa kimaro
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ziara ya mafunzo kwa wanafunzi kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) kutembelea Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Tarehe 27 Januari, 2022.
TeknoKona (Facebook)

Unafahamu mambo ya kuzingatia unapoandaa Tangazo la Facebook? Soma makala hii uweze kufahamu mambo yote muhimi ya kuzingati katika uandaaji wa tangazo la Facebook.

https://zcu.io/HqHf
TeknoKona (Facebook)

Unazifahamu Apps zilizopakuliwa zaidi mwaka 2020? Soma makala hii uweze kuzifahamu.

https://zcu.io/6d3T
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) amefanya Ziara ya Uelewa katika Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Tarehe 28 Januari, 2022.

Katika Siku ya kwanza ya Ziara hiyo, ametembelea Makumbusho ya Mawasiliano ya TCRA na kujionea uhifadhi uliobeba historia pana ya ukuaji wa Sekta ya Mawasiliano tangu kale hadi sasa. @nape_nnauye @wizarahmth
TeknoKona (Facebook)

Google imenunua hisa za kampuni ya simu ya Airtel ya India zenye dhamani ya dola bilioni 1. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/Fzvn