Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.59K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

Hakikisha unatenga muda kusafisha kifaa chako cha kielektroniki ili kuzuia hitilafu ndogo ndogo kutokea. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Samsung Galaxy A2 Core ni simu janja yenye sifa za kipekee. Soma makala hii uweze kuzifahamu

https://zcu.io/HD7w
TeknoKona (Facebook)

Unawezaje kuitambua memori kadi feki? Soma makala hii uweze kufahamu.

https://zcu.io/k6fD
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Rudisha ujumbe (sms) uliyofuta kwa BAHATI MBAYA kwenye simu !!
fahamu njia rahisi ya kuweza kurudisha ujumbe au call logs zako zote ulizopiwa au kupiga kwenye simu yako kwa njia rahisi sana.

njia hii inafanya kazi hata kama umepata Simu mpya utaweza kurudisha sms au call log zako pia ikiwa umeibiwa au kupoteza simu yako

usisahau ku subscribe likes & comment kwa maujanjq zaidi

subscribe kwa video nyingi zaidi 👍

teknolojia ni Yetu sote

#swahili #bongo #maujanja #simu #swahilireaction #bongomovie #bongotech
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
12/01/2022.
TeknoKona (Facebook)

Tunawatakia Heri ya Sikukuu ya Mapinduzi.

#Miaka58yaMapinduzi
TeknoKona (Facebook)

Tesla sio magari pekee yanayotumia umeme, Soma makala hii uweze kuyafahamu magari mengine ya umeme.

https://zcu.io/tnMH
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kuyafahamu majukwaa mbalimbali ya utiririshaji wa video.

https://zcu.io/KC1w
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu kuhusu app ya kurekodi mazungumzo katika simu.

https://zcu.io/MRTz
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

BLADE (WESLEY SNIPES) ALIPOTELEA WAPI?
Najua wengi tumejiuliza hili swali hivi yule star nyuma ya Blade alipotelea wapi?Ili kujibu swali hilo, hebu tuangalie historia fupi ya uigizaji ya Wesley Snipes Hollywood, ili kubainisha nini kilitokea hadi kupelekea apotee ghafla hadi kukwamisha muendelezo wa Blade Trinity

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James