Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.57K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kudownload GTA San Andreas kwenye simu || How to download GTA San Andreas on Android
play and and download GTA san Andreas on smartphone with highly graphics

cheza Sasa game ya GTA San Andreas kwenye simu yako kwenye guality iliyobora zaidi πŸ™ƒ

download link on comment section πŸ‘‡πŸ‘‡

#gta #swahili #bongotech #sanandreas #gameandroid
TeknoKona (Facebook)

Snapchat ni moja kati ya mitandao ya kijamii inayokua kwa kasi sana. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/2DVf
TeknoKona (Facebook)

China wamefanikiwa kurusha ndege ya kwanza inayotumia umeme. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/NqUK
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

LAVA LAVA / MAMBO 10 USIYOFAHAMU
#lavalava #wcb #wasafi
Lava lava kutoka lebo ya (WCB) inayomiliki wasanii wengine kama Rayvanny,Zuchu,Mbosso na Diamond Platnumz mwenyewe ambaye ndiye bosi wa lebo hiyo,ni msanii ambae kwa sasa anatamba sana na nyimbo zake zinazochambua changamoto za mahusiano kama INATOSHA.

0:00​ | Introduction
0:58​ | Historia ya Lava lava
1:46​ | Lava lava Hadi kufika Studio za Wasafi
2:44 | Historia ya Lukamba wa Diamond Platnumz
3:29 | Jinsi ya kusainiwa WCB
4:15 | Producer aliyesimama na Lavalava siku zote
5:00​ | Kwanini Lavalava anasua sua? amepitwa na Zuchu
5:47​ | Wimbo wa Lava lava na Meja kunta Wanga
6:51 | Wasafi wam'brand' upya Lava lava
7:47​ | Lavalava ni zaidi ya Otile brown YouTube
8:24​ | Lavalava amempita Mbosso
TeknoKona (Facebook)

Changamoto ya lugha isikuzuie kutumia huduma za mtandaoni. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Usiache kusoma sera ya faragha ya programu unazotumia ili kujihakikishia usalama wa taarifa zako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Mtandao wa kijamii wa twitter umeripotiwa kufahamu matumizi mabaya ya huduma yao ya Twitter Spaces. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/2DSg
TeknoKona (Facebook)

Kampuni ya Sony imepanga kuleta PlayStation kwenye simu janja. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/YqrY