Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.57K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Miaka 60 ya Uhuru 🇹🇿

“Tanzania imara, Kazi iendelee.”
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Tufuatilie kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ili kupata Elimu kuhusu Sekta ya Mawasiliano Nchini na mengine mengi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Anataka kupandikiza Chip kwenye ubongo wa binadamu ili kusaidia baadhi ya wagonjwa wa uti wa Mgongo #Sanuka #simukitaa #ijuesimuyako #kitaanikwetu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna Ya kuzua marafiki zako wanaopenda kukufuatilia kwenye Applications za photos,Whatsap,Instagram N.k #Sanuka #simukitaa #ijuesimuyako #faham #dsm
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

DIMPO HUTOKEAJE? NA JINSI YA KUZIPATA
#dimpoz #dimpo
Dimpoz, hapa hatuzungumzii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz, hapana tutazungumzia ile mibonyeo waliyonayo baadhi ya watu kwenye mashavu yao

0:00​ | Introduction
1:22​ | Dimpoz hutokeaje?
3:00​ | Operation ya Muna love, afanya surgery ya Dimpozi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Je umesahau Passcode ya simu yako na umejaribu mpaka imeandikaYour iPhone is Disabled ? #Sanuka #simukitaa #ijuesimuyako #fahamu #kitaanikwetu #bongo
TeknoKona (Facebook)

Tenta browser ni kivinjari cha Android kinachohakikisha usalama wa nyendo zako mtandaoni dhidi ya huduma za matangazo. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://teknolojia.co.tz/tenta-browser-kivinjari-simu-android-vpn/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ufundi wa vifaa vya Mawasiliano kutoka Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

Zoezi hilo limeratibiwa na TCRA Ofisi ya Kanda ya Kaskazini na kuhudhuriwa na wawakilishi kutoka Chuo cha VETA pamoja na Jeshi la Polisi Tanzania.
TeknoKona (Facebook)

Tumia simu yako kistaarabu kwa kuzingatia usalama wa afya yako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Hamisha mafaili kutoka kwenye kompyuta yako kwa kuzingatia usalama wa taarifa zako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/