Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.59K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
jinsi ya kujua kama simu yako ni feki au original || how to know your Smartphone is fake or original — Bongotech255
https://youtu.be/HRx_iYwZq4I 2:29
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ili kufahamu zaidi pakua App ya "Posta Kiganjani" na ufurahie huduma zilizorahisishwa na Teknolojia ya Mawasiliano Nchini.

#wikiyapostaduniani
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Mambo 6 hatari ambayo utakiwi kufanya kwenye simu yako (mitandaoni)

Kukua kwa teknolojia kumepelekea mambo mengi kutumia intaneti hivyo kusaidia kufanyika Kwa shughuli mbalimbali ulimwenguni.

Jiepushe na mambo haya unapokuwa mtandaoni

1️⃣ Usiandike kila kitu kuhusu maisha binafsi
Tunaelewa mitandao ya kijamii imewekwa Kwa ajili ya kuburudisha ,Kuelimisha Lakini isikufanye uweke kila kitu kukuhusu wewe juu ya maisha yako binafsi mtandaoni.

Unamkuta mtu kupitia mtandaoni unajua location aliyopo , eneo analokaa , maisha anayoishi hivyo jihadhari kutumia simu yako kuonyesha maisha yako yote binafsi.

2️⃣ Usipende kutembelea tovuti au App ambazo zinavunja sheria

Kikawaida unaweza kufikiria ni stroy tu ziko kwenye movies kama angel has fallen nk lakini tabia ya kutembelea tovuti zenye kuvunja sheria kwa njia moja au nyingin...

View original post
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ziara ya Wanafunzi wa Kidato cha Tano kutoka Shule ya Sekondari Jangwani iliyopo Jijini Dar es Salaam kutembelea Makumbusho ya Mawasiliano iliyopo Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), leo tarehe 05/10/2021. Kufuatia maadhimisho ya Wiki ya Posta Duniani, wanafunzi hao walipata wasaa wa kujionea mabadiliko ya teknolojia kwenye utoaji wa huduma za Posta kuanzia zama za kale hadi sasa.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Tufuatilie kwa pamoja uzinduzi wa Wiki ya Posta Duniani mubashara kutoka Dodoma kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kwa kufungua link hii 👇👇

https://youtu.be/ioQe1YqDgI4