Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.59K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) ametembelea banda la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwenye shughuli za uzinduzi wa Wiki ya Posta Duniani zilizoenda sambamba na uzinduzi wa duka la posta mtandaoni na maonesho ya huduma za posta, leo tarehe 06/10/2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma. Shughuli hizo za uzinduzi zimehudhuriwa pia na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari.

Kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Posta Duniani ni tarehe 9 Oktoba ambayo ni Siku ya Posta Duniani.
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

𝗡𝗷𝗶𝗮 𝗿𝗮𝗵𝗶𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗸𝘂𝘇𝗮 𝗮𝗸𝗮𝘂𝗻𝘁𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗜𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺

Ni kitu kizuri na chenye furaha sana kuwa na likes nyingi pale unapokuwa unatumia mitandao ya kijamii. Haina maana kama uta post picha yako nzuri lakini hakuna mtu yeyote anaye itazama.

Follow unfollow? NO

Najua ulivyoona nimekwambia ntakuonyesha namna ya kuongeza followers tayari ukajua nitakuelekeza kutumia njia ya Follow Unfollow ambayo ni maarufu lakini ni ngumu sana kufanikiwa.

We tumia njia hizi utafanikiwa👇

1️⃣ pendezesha akaunti yako

Kabla ujawaza kuhusu utapata wapi followers wengi ebu fanya kupendezesha akaunti yako. Unajua akuna jambo zuri kama mtu akingia kwenye page yako alafu akakuta Ina mpangilio mzuri na WA kuvutia hivi unafikiri hatachaje kuku follow ? 😳

hakikisha umependezesha kuanzia bio , image zako , caption...

View original post
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority на Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

BAMBO LA MTAA ALHAMISI HII🔥🔥

Usikose kufuatilia kipindi cha Bambo la Mtaa kupitia chaneli ya Clouds TV ifikapo saa mbili na nusu (2:30) usiku…
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeshiriki katika Mkutano wa pili wa Bodi ya Wasanifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) uliofunguliwa rasmi tarehe 07/10/2021 na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC Jijini Arusha. TCRA imeshiriki kama mdau kwa kuweka banda la huduma kwa mteja na kutoa huduma kwa wadau waliofika kwenye viwanja vya AICC. Mkutano wa AQRB umehitimishwa rasmi leo tarehe 08/09/2021 na katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athuman Kihamia.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Usikose kufuatilia maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani mubashara kutoka Dodoma kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuanzia saa tatu kamili (3:00) asubuhi.