HAJIMURON255๐ (Instagram)
๐๐ถ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฝ๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ ๐ถ๐น๐ถ๐๐ผ๐ฝ๐ผ๐๐ฒ๐ฎ ๐ฎ๐ ๐ธ๐๐ถ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ
Moja kati ya simu ambayo inatumiwa sana na watu wengi ni iphone , ila asilimia kubwa ya watumiaji wengi wa iphone Huwa hawapendi mambo mengi , hii kutokana mfumo wake ulivyo pia hiko tofauti na android.
Lakini watumiaji wa iphone kwenye suala la ulinzi wako imara ๐ sana kuliko watumiaji wa Android. Kiwaulisia Android na iphone simu Bora kwa Sasa ni iphone.
Je unaweza kuipata simu ya iphone ambayo imepotea au kuibiwa hata kama imezimwa au imefutwa kila kitu (frp).
Yes inawezekana iphone wametuletea teknolojia mpya ya kuweza kupata simu zetu hata ikiwa umeibiwa na imefutwa basi ๐ utaipata tu labda wakuue.
Unachotakiwa kufanya ingia setting kwenye simu yako ya iphone hakikisha simu yako upande wa find my device umewashwa ni muhimu sana.
Ingia set...
View original post

Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Usikose kufuatilia kipindi maalum cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) mubashara kupitia chaneli yetu ya YouTube, Instagram na Twitter leo kuanzia saa moja kamili usiku (1:00)

MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU NICKI MINAJ โ Newzfid
https://youtu.be/xKbS2NCizg0 8:39
https://youtu.be/xKbS2NCizg0 8:39
YouTube
MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU NICKI MINAJ
#nickiminaj #hiphop #historia
Nicki Minaj aliibukia kwenye sanaa wakati ambapo kulikuwa na wanawake wachache katika hip-hop. Minaj alijizolea umaarufu na nyimbo kama "Starships" na "Super Bass", hadi kupelekea apewe jina Malkia wa rap na tovuti mbalimbaliโฆ

Jifunze kutengeneza Video za YouTube | Camtasia 9/2019/2020 โ NK- Computer Training
https://youtu.be/Qk82XRLo4Qw 35:55
https://youtu.be/Qk82XRLo4Qw 35:55
YouTube
Jifunze kutengeneza Video za YouTube |Kutoa noise katika sauti au Mfoko |Camtasia 9/2019/2020
Jifunze kutengeneza Video za YouTube | Camtasia 2019/2020
==========
*Audacity:* https://www.audacityteam.org/download/windows/
Link ya Any Video Convertor: https://www.any-video-converter.com/products/video-converter-free/
Link ya Camtasia : https://wwโฆ
==========
*Audacity:* https://www.audacityteam.org/download/windows/
Link ya Any Video Convertor: https://www.any-video-converter.com/products/video-converter-free/
Link ya Camtasia : https://wwโฆ
HAJIMURON255๐ (Instagram)
Unajua umuhimu wa kuzima simu yako
Unafikiri kwanini Kuna umuhimu wa kuzima na kuwasha simu yako ?
Akuna anayebisha Sasa ni wazi simu zetu za smartphone zimekuwa sehemu Moja wapo muhimu sana kwenye maisha yetu kiasi kwamba ikiwa mtu akiwa Mbali na simu yake anakuwa na wasiwasi sana haswa ikiwa imezimwa.
Lakini asikuambie mtu akuna kitu kisicho choka duniani kama binadamu anachoka kwanini simu isichoke ๐ณ ?
Umuhimu wa kuzima simu yako ๐
1๏ธโฃ Huipa nguvu simu yako
kuweza kufanya kazi Kwa haraka
Kama unaona simu yako imepungua uwezo wake wa kufanya kazi aliyakuwa Ina nafasi na uwezo basi jitahidi sana kiuipumzisha simu yako angalau huweze kuizima hata masaa kadhaa kwani utasaidia sana kuweza kuipa nguvu ya kufanya kazi Kwa haraka.
Unajua kama ww umekua mmoja wa watu ambao wanatumia sanaa programu nyingi kwenye simu yak...

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa mafunzo kwa Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Wasioona Tanzania (TAB) kuhusu matumizi sahihi na salama ya Huduma na Bidhaa za Mawasiliano. Katika Mafunzo hayo, TCRA imetoa vitabu vya Mwongozo kwa Watumiaji wa Huduma na Bidhaa za Mawasiliano vilivyoandikwa kwa maandishi maalum ya nukta nundu kwaajili ya watu wasioona. Mafunzo hayo yalifanyika jana Tarehe 01/10/2021 katika Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Create a Telegram Bot and Deploy it to Heroku for Free
YOUTUBER ANAYEGAWA HELA BURE!! ๐ค๐ค โ Newzfid
https://youtu.be/D3BJiEv-Vt8 3:24
https://youtu.be/D3BJiEv-Vt8 3:24
YouTube
YOUTUBER ANAYEGAWA HELA BURE!! ๐ค๐ค
Akiwa na umri wa miaka 23 tu, Jimmy Donaldson - anayejulikana zaidi kama Mr beast - ni mmoja wa youtuber wanaotazamwa zaidi na wanaolipwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube.
Mr Beast anajulikana kwa video zake ambazo huwapa watu ofa ya kununua chochote watakachoโฆ
Mr Beast anajulikana kwa video zake ambazo huwapa watu ofa ya kununua chochote watakachoโฆ
HAJIMURON255๐ (Instagram)
๐ ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ต๐๐๐ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ
Tunaelewa simu mpya zikija Kuna vitu mnaambiwa kuhusu hiyo simu sijui camera , ram au uwezo wake wa kuhifadhi lakini haitoshi kusema unaijua simu kiundani zaidi.
Kuna mambo mambo mengi ya Siri watu wengi hawajui kuhusu hivi vifaa vya Android ambapo ukifanikiwa kuvijua basi utaweza kufurahia zaidi simu yako usijali Leo nitakuambia mambo muhimu kuhusu simu yako.
1๏ธโฃ Okoa chaji na ongeza kasi simu yako
Unajua kuwa unaweza kuongeza kasi ya kwenye simu yako ikiwa unaona simu yako imepungua ufanisi wa kufanya kazi basi tumia njia hii kuongeza ufanisi na kuipa uimara wa kukaa na chaji Muda mrefu.
Ingia setting kwenye simu yako Kisha about phone au device alafu kwenye build number gusa mara sitq mpaka saba baada ya hapo utaona neno your now developer rudi Baki....

๐จ๐๐ฎ๐ท๐๐ฎ๐ท๐ฒ ๐ธ๐ฎ๐บ๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ ๐ป๐ถ ๐ณ๐ฎ๐ธ๐ฒ ๐ฎ๐ ๐ผ๐ฟ๐ถ๐ด๐ถ๐ป๐ฎ๐น
sio rahisi mtu kujua kama simu uliyonunua ni fake kwa mara ya kwanza ukiona maana inaonekana kama original.
Ila Leo wanangu nitawajuza Kwa watumiaji wa android pia iphone japo nilishawaambia mwanzo. ๐
refurbished ni simu ambazo zimefanyiwa matengenzo na kupigwa polished baada ya kuhalibika na simu nyingi huwa wanazifanya mfumo huu haswa Samsung , tecno , oppo na nk
โถ๏ธ IPHONE๐
โซ๏ธ Angalia specification zake kwenye box kama umenunua IPhone ikiwa na box lake litakunyesha model number,serial number na Imei. kila unachokiona kwenye box lazima kiendane na ndani ya simu ingia setting >> kisha general >> about kama utaona ziko tofaut na box ujue simu yako ni feki.
โซ๏ธKwa kutumia Online
kama umenunua simu kwa mtu basi tumia njia hii kuwe...