fahamu jinsi ya kukata na kupokea simu bila kuishika 👇
unajua teknolojia inazidi kuwa kwa kasi sana kiasi kwamba imeturahisishia vitu vingi ambavyo tulikuw tunapata tabu kuvipata mwanzoni. ebu kumbukq zile zama za kwenda intaneti cafe kuweza kulipia ili kuingia mitandao ya kijamii 😁 mpaka kufikia sasa tunaperuzi kwenye kiganja.
hivi utajisikiaje kuona simu yakoo unapigiwa alafu unapokea bila kuishika we 😅 utazani uchawi sio ila ndoo ukweli huo. wakati mwingine unajikuta uko busy mpaka kupelekea simu kuishika ni kazi hivyo 😃 we unasema tu "Yes" simu inajipokea au ukiona utaki unasema "No" inajikata yenyewe 😁.
kupitia makala nitaweza kukuonyesha jinsi ya kufanya ili kuweza kupokea simu au kukata bila kuishika simu yakoo 😏.
pia uzuri wa app kuwa unaweza kuweka maneno rahisi kwako ambayo yatakusaidia kuweza kupokea simu au kukata kwa kutamka hayo maneno kwani pale tu utakapo pokea yenyewe itajiweka loudspeaker 📢 una haja kuishika shika simu yakoo.
unachotakiwa ni kuweza kupakua/ kudownload app ya Vani - Your personal voice assistant call kwenye simu yako kupitia soko la Play store baada ya kumaliza kupakua basi utaweza kufunga hiyo app yako👇👇
>> kisha bofya skipp >> alafu start >> ili kuweza kuiwasha app yetu >> baada ya kubonyeza start utapelekwa eneo la kuweza ku allow permission Ili kuweza kufanya kazi.
>> baada ya hapo utafanya chaguzi za permission za kuweza kutumia hiyo app utachagua kitu unachotaka kisha utaweza kuipa allow permission kwenye hiyo app.
kisha utamalizia eneo la Accessibility 🦾 ambapo utaweza kuiwasha hiyo app yakoo ya Vani 😊. baada ya hapo rudi baki utapelekwa eneo la kuweza ku set neno gani litumike kupokea simu yako au kukata pindi unapigiwa.
unaweza ku set Mama kupokea na Papa kukata 😁. Ilikubadilisha na kuweka neno unalotaka gusa👉 sehemu ya MIC iliyopo upande wa kulia kuweza kuchagua wewe unavyotaka.
Naaam hiyo ndiyo njia ya kuweza kufanya ili kuweza kupokea simu yako kwa kusema Maneno bila kuishika simu yako. kwa maujanja mbalimbali kuhusu teknolojia karibu katika page yetu tujifunze.
@bongotech255
#fahamu #fahamuzaidi #mambo #kufanya #jinsi #kupokea #na #kukata #simu #bila #kuishika #teknolojia #bongo

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
HAJIMURON255🌏 (Instagram)
Badili picha kuwa mfumo wa katuni Kwa njia rahisi sana kupitia simu Yako 🤗
Change Photo into cartoon 😊 with easy steps 🔥🔥🔥🔥
Follow @bongotech255
Follow @bongotech255
Kwa maujanja mbalimbali kuhusu teknolojia
#photography #designer #photo #into #cartoon #filter #badili #picha #kuwa #cartoon #katuni #kwenye #simu #bongotech255 #instagram #cartoon #instapic #reels #bongotrendings #bongocat #bongocatmemes #reelsinstagram #fahamu #harmonize #udaku #bongotech255