Teknolojia
129 subscribers
3.71K photos
4.35K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Instagram imeboresha sehemu ya kuonyesha taarifa za akaunti katika sehemu ya Insights.
Microsoft Publisher itafutwa rasmi mwakani. Hii ilikuwa app maarufu ya kutengeneza kadi na magazeti katika miaka ya zamani

- Microsoft imesema watumiaji watumie Word, Designer na PowerPoint.

- Adobe InDesign, Illustrator na Photoshop zimechukua soko la watumiaji wa Publisher.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Unaweza kushinda laki tano hadi milioni moja kwenye challenge???
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Jifunze Matumizi ya kila Usb unazokutana nazo kila siku na matumizi yake katika Vifaa mbalimbali
︎ Teknolojia

💨Baada ya mapokeo ya Samsung A06 series (A06,A16, A26,A36na A56) kufanya poa kwenye soko mwishoni na mwanzoni mwa mwaka huu. Samsung wapo mbioni kuwaletea A07 series.

Huu utakuwa Muonekano wa Samsung A17🔥🔥👇
︎ Teknolojia

💨Chagua na rangi yako kabisa kabla hazijaja sokoni