Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma
Unatumia Wi-Fi ya bure? Kaa chonjo! VPN ni kama barabara ya siri inayokulinda unapotuma taarifa zako mtandaoni. Hebu tujue VPN ni nini, inafanyaje kazi, na kwa nini unaihitaji hasa ukiwa kwenye Wi-Fi ya umma!

5. โ๏ธ Check APN settings zako:
Wakati mwingine slow speed ni sababu ya Access Point Name (APN) isiyo sahihi.
๐ Nenda Settings > Mobile Network > Access Point Names
โ Hakikisha umetumia APN ya kampuni yako (Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel n.k.)

2. ๐ถ Signal strength vs bandwidth:
Unaweza kuwa na full bars za 4G lakini still ukose kasi.
Hii ni kwa sababu signal ni intact lakini bandwidth (upana wa njia ya data) ni finyu.

4. ๐ Airplane mode hack:
Washa Airplane Mode sekunde 10 kisha uzime.
โ Hii inalazimisha simu kutafuta tower mpya (ambayo inaweza kuwa less congested au stable zaidi).
Inasaidia mara nyingi kuliko unavyodhani.

7. ๐Location inahesabika:
Ukiwa ndani ya nyumba zenye kuta nzito, basement au kijijini โ signal inaweza kudanganya (inaonyesha 4G lakini haina nguvu).

1. โ
4G haimaanishi speed ya juu kila mara.
Nembo ya โ4Gโ inamaanisha tu umeunganishwa kwenye mtandao wa 4G โ si lazima upate high-speed internet.
๐ Speed inategemea bandwidth na network congestion.

8. ๐งผ Safisha cache ya network:
Washa simu kwenye safe mode au reset network settings (Settings > System > Reset > Reset Network Settings).
โ Hii huondoa bugs au conflicts zinazozuia network iwe stable.

10. ๐ Kwa kifupi:
4G โ Speed guaranteed.
๐ Sababu kuu ni:
Bandwidth finyu
Mitambo kuzidiwa
APN mbovu
Simu isiyounga mkono 4G vizuri
Location
4G โ Speed guaranteed.
๐ Sababu kuu ni:
Bandwidth finyu
Mitambo kuzidiwa
APN mbovu
Simu isiyounga mkono 4G vizuri
Location
9. ๐ก Bonus tip:
Ikiwa unatumia dual SIM โ hakikisha data imewekwa kwenye line yenye network bora.
Pia weka line hiyo kwenye SIM slot 1 โ kwa sababu slot ya pili mara nyingi haina 4G support full.

6. ๐ฑ Simu yenye 4G band finyu:
Simu nyingi za bei nafuu (za kichina) zinakuja na limited 4G bands.
โ Haziwezi kushika vizuri baadhi ya frequency za mitandao yetu.
โ Hakikisha simu yako ina support 4G LTE Band 3 (1800 MHz) โ inayotumika sana Afrika.

3. ๐งฑ Congested tower:
Mitambo ya 4G inahudumia watu wengi.
Wakati wa jioni au maeneo yenye watu wengi (shule, sokoni, kwenye event) โ network inakuwa congested.
Matokeo? Internet ya kutafuna maneno.

๐จ Wakenya toka wamfunge Congo wamekuwa na mdogo sana
Siku wakicheza na sisi Tanzania hata kama kitapigwa Nairobi lazima niende tuwafunze adabu ๐๐