Teknolojia
129 subscribers
3.71K photos
4.36K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🟡 3. Je, unaweza kurejesha backup ya zamani (local)?

Kwa Android:

Nenda kwenye File Manager > WhatsApp > Databases

Utakuta mafaili ya siku kadhaa yakiwa na majina kama msgstore-YYYY-MM-DD.db.crypt14
iPhone:

> WhatsApp > Settings > Chats > Chat Backup > Auto Backup > Daily
🟢 2. Reinstall WhatsApp:

Pakua WhatsApp tena kwenye simu yako.

Ingia kwa namba ileile uliyokuwa unatumia awali.
Android:

> WhatsApp > Settings > Chats > Chat backup > Back up to Google Drive
Vipi kama backup haipo?
Pole, lakini chats zako haziwezi kurudi bila backup.

Hapo ni muhimu uanze ku-activate backup settings:
Baada ya verification, WhatsApp itakuuliza kama unataka kurestore backup.

Kubali kwa kubonyeza “Restore” na subiri.
🟢 Tips za kujiokoa siku zijazo:

1. Weka backup daily.

2. Tumia WiFi ili backup ifanyike bila kukula data zako.

3. Hakikisha Google Drive/iCloud ina storage ya kutosha.
Badilisha jina la faili ya tarehe unayotaka kuwa msgstore.db.crypt14

Uninstall WhatsApp > reinstall > restore.
Tafuta sehemu ya “WhatsApp backups” ili uthibitishe kama kuna backup ya karibuni.
Note: – Backup hurekodiwa kila siku au kila wiki kulingana na settings zako. – Ukiwa huja-backup kwa muda mrefu, chats za karibuni zinaweza kupotea.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Simu haijui lugha ya kibinadamu, lakini mbona ukiandika "A" kwenye keyboard inaandika herufi hiyo hiyo kwenye kioo? Jibu litakushangaza — yote ni ujanja wa namba na binary!