Teknolojia
129 subscribers
3.71K photos
4.36K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨 Samsung S26 Ultra 🥶
@Huduma

💨 VIVO imeongoza kuuza simu nyingi zaidi India kwenye robo ya pili ya 2025

XIAOMI toka 2022 alianza kupotea sokoni wakatolewa No1 na SAMSUNG sasa wameshushwa hadi No4.

NB: Vivo, Oppo na Realme zote zipo chini ya BKK Company.
🛡️ 8. Jinsi ya kujikinga baada ya hapa
Kama hujapoteza picha zako leo, jifunze kabla hujalia kesho:

Washa Google Photos Backup

Copy picha zako kwenye external SD card au USB flash drive

Tumia Telegram kujitumia picha zako kwa usalama
🔧 7. Tumia Apps za Recovery (kwa Android)
App kama DiskDigger, EaseUS MobiSaver, au Dr.Fone huweza ku-recover picha hata baada ya kufutwa kabisa.
➡️ Tumia search (kwa jina, mahali, tarehe nk).

➡️ Ukiziona, unaweza kuzidownload moja kwa moja.

NB: Backup inafanya kazi tu kama uliwahi kuiwasha.
Hapa unaweza kukuta picha nyingi ndogo (low res), lakini bora kuliko kupoteza zote.

NB: Hakikisha ume-ON "Show hidden files".
⚠️ Lakini:
➡️ Inafanya kazi vizuri kama bado hujatumia sana simu tangu ulipofuta.
➡️ Root access inaweza kuhitajika kwa recovery ya kina.
🔒 Samsung:
➡️ Gallery > Menu (3 dots) > Settings
➡️ Washa "Show hidden albums"
📁 3. Check kwenye .thumbnails folder (Android)
Hata baada ya kufuta picha, Android huihifadhi version yake kwenye .thumbnails folder.

➡️ Fungua File Manager
➡️ Nenda: Internal Storage > DCIM > .thumbnails
🔄 6. Cloud Storage nyingine
Je, uliwahi kutumia Dropbox, OneDrive, au Telegram?

➡️ Nenda kwenye apps hizo.
➡️ Angalia "Media" au "Saved" sections.
➡️ Kuna uwezekano picha zako zipo humo.

Telegram hasa huokoa media zote unazojitumia au kudownload kutoka group.
🗂️ 5. Hidden Albums (iPhone & Android)
Picha zingine huenda umeziweka “hidden” kwa bahati mbaya.

🔒 iPhone:
➡️ Photos > Albums > Hidden (chini kabisa)
➡️ Unahitaji Face ID/Passcode ili kuingia.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JBL PARTYBOX 320 & JBL PATRYBOX 310 🔥🔥🔥 Hizi ni zaidi ya balaa wanakitaa, Speaker hizi zinapatikana kitaani…!! Speaker hizi zina uwezo mkubwa na zina sauti ya kutosha wanakitaa, ukiwa nayo hii unaweza ukaitumia kwa shughuli mbalimbali na kila kitu kinakuwa sawa.. Bado tunaendelea kuwakumbusha kwamba hapa ndiyo chimbo pekee la kujipatia simu genuine kwa bei nafuu kabisa... Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Jeh ulikua unayajua haya Mwanakitaa..!! Najua ulikua ufahamu mengi kuhusu haya ila Tafadhali angalia video Hii Mpaka Mwisho Then Thank Me Later.. Nawakumbusha tu hapa ndo mahali pekee utajipatia simu original kabisa tena kwa bei nafuu.. Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori