Teknolojia
129 subscribers
3.71K photos
4.36K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
︎ Teknolojia

💨Hawa redmi wanataka simu zao zisambae kila kona ya dunia kwa sasa.

Kila mwezi wanakuja na simu mpya hii hapa Redmi Note 14 SE itakayozinduliwa 28 mwezi huu katika soko huko India
Itakuwa na features zifuatazo
- 120Hz AMOLED panel with 2100nits brightness
- Dimensity 7025 Ultra
- 50MP Sony LYT-600 OIS
- 5110mAh battery
- Dual speakers
- In-display fingerprint scanner
︎ Teknolojia

💨 Home Studio loading ....
︎ Teknolojia

💨 Camera Protector za iPhone 17 Pro
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Hizi simu ni noma ina picha kali ila kamera uje nayo wewe😂😂
Jinsi ya ku-sync:

> Settings > Accounts > Google > [email yako] > turn on "Contacts"

Zitarudi moja kwa moja kwenye simu yako.
➡️ Hapo utaona contacts zote ulizofuta ndani ya siku 30
➡️ Chagua unazotaka > Gusa Restore

🔁 Zitarudi moja kwa moja kwenye list yako ya contacts.
➡️ Nenda kwenye Settings > Undo changes
➡️ Chagua muda: 10 mins, 1 hour, Yesterday, etc.
➡️ Contacts zako zitarudishwa kama zilivyokuwa wakati huo


2. Tumia ‘Undo Changes’ ya Google Contacts

Ikiwa umefuta contacts ndani ya siku 30 zilizopita:

➡️ Ingia contacts.google.com
NB: Hizi zinahitaji PC/Laptop na mara nyingine root/permissions maalum.
5. Rejesha Kutoka Backup App

Kama uliwahi kutumia apps kama:

Truecaller – inabackup contacts pia

Samsung Cloud – kwa simu za Samsung

Mi Cloud – kwa Xiaomi

Phone Clone (Huawei, Tecno, etc.)

Ingia kwenye app husika > Login > Rejesha backups zako.
Hakikisha unawasha auto-backup ya Google Contacts

Usihifadhi contacts kwenye SIM – ni rahisi kufutika

Tumia apps kama MCBackup au Super Backup kwa backup ya haraka


6. Angalia kwenye Trash ya Google Contacts
(Njia bora kabisa)

Google Contacts huweka namba zote ulizofuta kwa makusudi kwenye Trash (takataka) kwa siku 30 kabla hazijafutwa kabisa.

➡️ Fungua contacts.google.com kwenye browser
➡️ Gusa "Organize" upande wa kushoto
3. Angalia SIM Card Yako

Huenda baadhi ya namba zilikuwa zimehifadhiwa kwenye SIM.

➡️ Fungua Contacts app
➡️ Nenda Settings > Display preferences > SIM card only
➡️ Angalia kama kuna namba zilizofichwa
4. Tumia Apps za Recovery (Kama Huna Backup)

Unaweza kutumia apps kama:

Dr.Fone by Wondershare

Tenorshare UltData for Android

iMobie PhoneRescue (kwa iPhone)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Simu yako ina GB 128 ndani na 128 kwenye memory card? Usidanganyike, si sawa kabisa! ⚠️ Tofauti ni kubwa kwenye speed na performance.
︎ Teknolojia

💨Kuanzia mwezi huu wa saba hadi wa kumi tutarajie kuwepo wa simu mpya nyingi sana sokoni.

Realme pia wametangaza uzinduzi wa Realme GT 8 na GT 8 pro zitazinduliwa ndani ya mwezi wa 10.

👇👇