Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.5K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Camera
– Megapixels si kila kitu!
– Angalia sensor type (Sony, Samsung)
– Ota reviews za picha – kwa mfano YouTube

🔸 Operating System
– Android 13/14
– Usichukue simu yenye Android Go kama unahitaji multitasking
🔸 Display (Kioo)
– Resolution: Full HD+ (1080p) ni bora
– Panel: AMOLED ni nzuri zaidi kuliko IPS LCD
– Refresh Rate: 90Hz/120Hz huongeza smoothness

🔸 Battery: 5000mAh ni standard
🔌 Fast Charging: 18W–120W ni bora kwa kasi
Ukiwa na bajeti nzuri, unaweza pata simu kali sana bila kuibiwa.
Hatua ya Pili: Elewa mahitaji yako
Unahitaji simu kwa nini?
– Kutuma tu messages & calls?
– Picha kali?
– TikTok, YouTube, IG?
– Gaming?
– Biashara?

Hii inasaidia kujua specs gani ni muhimu zaidi kwako.
Hatua ya Tatu: Tumia tovuti kama GSM Arena au kimtindo wa specs checklist.

👉 Search "Best phones under 1M Tanzania GSM Arena"

Au tembelea hizi apps:
– Kimovil
– NanoReview
– Phone Finder tools
🔸 Updates
– Brands kama Samsung, Xiaomi, Infinix, realme, Tecno — angalia support ya updates
︎ Teknolojia

💨 Lamine Yamal anatumia Oppo Find X8 Ultra.
︎ Teknolojia

💨 INFINIX HOT 60i💥💥

Infinix hot 60i specifications

🔋 Battery: 5160mAh with 45W fast charging

📺 Display: 6.7" HD+ IPS LCD, 120Hz refresh rate

⚙️ Processor: MediaTek Helio G81 Ultimate

💾 Memory: 4GB / 6GB / 8GB RAM + 128GB / 256GB storage (expandable via microSD)

📸 Cameras:

Rear: 50MP + AI lens

Front: 8MP with LED flash

🔐 Security: Side-mounted fingerprint sensor + Face unlock

📡 Connectivity: 4G LTE, NFC, Bluetooth 5.3, Wi-Fi 5, USB-C, OTG support

💧 Protection: IP64 dust and splash res
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Hawa jamaa soon wataleta flagship moja matata sana ni swala la muda
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Unajua maana ya +255, +254 au +1? Hizi si namba tu—ni Country Codes! 🌍 Kila nchi ina ya kwake. +255 ni ya Tanzania 🇹🇿 +254 ni ya Kenya 🇰🇪 +1 ni ya Marekani 🇺🇸 Lakini... unajua kwanini zote zinaanza na “+”? Na +2 inawakilisha bara gani? 🤔 Fuatilia video hii hadi mwisho ujue siri ya namba hizi 📲
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
2: Performance

Fold 7 inatumia Snapdragon 8 elite Gen 3 — prosesa ya nguvu yenye AI support.

Kwa Fold 6 yenye Gen 3, tofauti kidogo sana
3: Battery & Charging
Z Fold 7 bado ina battery ya 4400mAh na fast charging ya 25W.
Hii ni sawa kabisa na Fold 6.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Njia za Kunufaika na AI ya Video Google Veo3
Tazama njia tofauti unazoweza kuzitumia ili kunufaika au kufaidika na kupata pesa mtandaoni kwa ai ya Google Veo3
Hakuna maboresho makubwa hapa.
Ungetegemea angalau 30W au zaidi kwa flagship kama hii.
4: Galaxy AI
Hii ndiyo tofauti kubwa.
Fold 7 imejengwa na Galaxy AI ndani kwa ndani:
Circle to Search
Live Translate kwa simu na texts
Note Assist
Generative Edit
Ingawa baadhi ya hizi AI features zipo kwenye Fold 6, Fold 7 inazifanya kwa ufanisi zaidi (deep integration).