Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.5K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.1m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.2m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 3a (12+128) - 1.1M
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 TECNO CAMON 40 Series

▪️Camon 40 (16+256) - 650K
▪️Camon 40 Pro (16+256) - 750K
▪️Camon 40 Premier (21+512) - 1.15M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Namna ya kutumia camera zote za Google Pixel 7 Pro.
💨 Kila siku usiku internet ya voda haifanyi kazi 🗑️
🆕 Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 26 Beta 3

Katika mabadiliko makubwa ya mfumo huu, Apple imepunguza transparency ya mwonekano na sasa imekuwa sio Liquid Glass kama ilivyokuwa kwenye Beta 1 na 2.

🚫 Watu wengi hawajapenda mwonekano huu.

🚨 iOS imeacha kuwa Liquid Glass
🆕 Jack Dorsey, mwanzilishi mwenza wa Twitter na Mkurugenzi wa kampuni ya Block, weekend hii ametoa app mpya ya Bitchat.

Bitchat ni app ya kutuma ujumbe kutumia teknolojia ya Bluetooth network, inaweza kutuma ujumbe bila kutumia Wi-Fi wala mtandao wa simu.
Bitchat itashindana na WhatsApp na app za kutuma meseji.

- Itakuwa haitumii bando
- Mamlaka za kudhibiti apps na mawasiliano hazitaweza kuizuia
- Haikusanyi data zozote
- Ni encrypted na salama
🆕 Kama unapenda kupiga picha zenye ubora mzuri kwa kutumia simu yako, jaribu kutumia app hii ya Project Indigo.

Project Indigo ni app mpya ya Adobe - inafanya simu kuwa na uwezo mzuri wa kupiga picha https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1942619900536594443#m
🆕📸📲 Project Indigo ni app mpya ya Adobe ambayo inawezesha simu kuchukua picha zenye ubora kuliko kutumia app ya simu.

Project Indigo inatumia mfumo maalum wa kuchkata picha na kuiboresha kuwa bora zaidi.
Setup ya kisafi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕📲 Style mpya wa Spacial Effects katika icons na widgets za Home Screen katika mfumo mpya wa iOS 26

Ukichezesha simu, utaona icons na widgets zinabadilika kuendana na angle ya simu
︎ Teknolojia

💨Hawa jamaa sijui kwanini swala la battery bado
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨Kwenye uzinduzi wa nothing phone 3 pia walizindua Headphone 1 💥🔥

Hii design ya hapa ni kali kuliko hata simu yenyewe 🔥🔥
Hatua ya Mwisho: Angalia review za watu wengine
– YouTube: “Simu hii inafaa?”
– Reddit / Facebook Groups
– Review za Tanzania pia zipo!

Hii hukusaidia kuona matatizo ambayo hayajaandikwa kwenye karatasi.
RAM: Angalau 4GB kwa kawaida, 6GB+ kwa matumizi makubwa

🔸 Storage: 64GB ni minimum. 128GB ni bora zaidi.