Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.5K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
5: Software Updates

Fold 7 inapata miaka 7 ya updates (Android + Security).

Fold 6 inapata 4-5 years.
Kama unapanga kutumia simu muda mrefu – hii ni point kubwa ya kuzingatia.
7: Bei
Z Fold 7 imezinduliwa kwa bei ileile ya Fold 6:
💰 $1,899
Tofauti iko tu kwa nchi tofauti na promotions mpya.
K
wa sasa, Fold 6 inashuka bei haraka – good deal kwa wanaotaka Fold bila kuvunja benki.
6: Main Camera
Hakuna mabadiliko ya maana kwenye main camera setup.
Still 200MP wide + 12MP ultra-wide + 10MP telephoto.
📸 Tofauti zipo kwenye AI enhancements tu.
Samsung hawajafanya mapinduzi makubwa.
Wameboresha palepale – lakini wanategemea AI kuvutia watu.
Na kama AI ni muhimu kwako – Fold 7 ni hatua sahihi.
Kama unatumia Fold 5 au 6 – bado huna sababu ya haraka kubadilisha.

👉 Kama uko na Fold 4 au chini – Fold 7 ni kwa ajili yako

AI features, updates, na performance ni deal ya ukweli kwa power users.
@Huduma

💨Fold 7 au flip 7
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.1m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.2m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 3a (12+128) - 1.1M
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 New video.... ⚖️
︎ Teknolojia

💨 Na mtaalamu @i_danny00 naye anaishi kama Pro 🔥
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Samsung Z fold 7 iliyozinduliwa jana muonekano ni matata sana🔥
︎ Teknolojia

💨 Redmi 14C 💥

Redmi 14C Specifications
▪️ Camera: 50MP
▪️ Storage: 128GB/256GB
▪️ RAM: 4GB
▪️ Battery Capacity: 5000mAh 👇

💥 Price: (4GB + 128GB) 300,000
(8GB + 256GB) 350,000

📍 Likoma, Opposite KKKT Kariakoo
📍 Roundabout ya samaki, Mwanza
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Namna ya kuhamisha vitu kutoka device yoyote ile ya apple kwenda devices za android na windows 🤣🤣 🇰🇪
3️⃣
🔍 IMEI hupatikana wapi?

Piga *# kwenye simu yoyote
Au iangalie kwenye box la simu
Au kwenye sehemu ya nyuma ya simu (kando ya battery – kwa baadhi)

Hifadhi namba hiyo sehemu salama!
4️⃣
⚠️ Madhara ya IMEI kufutwa au kuuzwa:

Simu yako ikipotea, huwezi kuifuatilia wala kuifungia.

Simu inaweza kutumiwa kufanya uhalifu, jina lako lihusishwe.
Ikitumika kwenye uhalifu, unaweza kukamatwa bila hatia.

Unaweza kuuziwa simu ya wizi (na ukafungiwa bila taarifa).
5️⃣
💣 Watu wengi huuza simu lakini husahau kufuta IMEI yao kwenye database za usalama (kama za mitandao).

Hii huacha mwanya wa hatari ya wewe kubanwa kwa kosa usilolijua.

USIUZIE mtu simu bila kuhakikisha IMEI yake ni salama.
💡 Hakuna simu mbili duniani zinazotakiwa kuwa na IMEI moja halali.