Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.45K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
JIFUNZE KUWA NA TABIA ZA USALAMA

Usihifadhi passwords muhimu bila encryption

Usihifadhi picha za vitambulisho, ATM PIN, au namba za kadi za benki kwenye Gallery

Hakikisha backups zako zinatumia encryption
πŸ‘1
2. WANAVYOPENYEZA ULINZI WA SIMU

SIM PIN nyingi ni rahisi kubashiri (mfano 1234, 0000)

Fingerprint/Face Unlock huibiwa pamoja na mhusika akiwa usingizini au akiwa hajitambui

Screen lock weak au haipo kabisa

Brute-force unlocking tools zinapatikana mitandaoni
TOOLS ZA KUJILINDA

Find My Device (Android) au Find My iPhone (iOS) – kusaidia kufuta simu kwa mbali

Google Authenticator – kwa 2FA

Bitwarden au 1Password – kuhifadhi passwords salama

App Lock – kufunga apps za pesa
4. WANAVYOPATA ACCESS KWA LINE YAKO

Wakiitoa SIM kwenye simu yako, wanaweza kuiweka kwenye nyingine

Kama haina PIN, wana access SMS zote (OTP codes, reset links)

Wanaweza kusajili SIM Swap kwa kushirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Huawei Pura 80 Pro wapo creativity flani amazing sana
πŸ”₯πŸ”₯
❀1
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Hii Realme inaonekana simu moja imenyooka sana.

Battery 10000mAhπŸ”₯πŸ”₯
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Muonekano wa iPhone 17 Pro Max πŸ”₯
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Yajue mambo ambayo yamenishangaza kuhusu #tecnocamon40 kutoka @TECNO Mobile Umeipenda ipi? #tecno #simukitaa #bongo #camon40 #sanukakitaani #ijuesimuyako
KUMBUKA
Tukizungumzia remote lock (kufunga simu kwa mbali), lengo kuu si "kupata simu," bali ni kuizuia isitumike au kuibiwa taarifa zako. Hii ndiyo hali halisi
3. Jinsi ya Kujiandaa Kabla Simu Haijapotea
Weka lock ya fingerprint / face ID / PIN.

Weka SIM card PIN.

Epuka ku-save passwords za benki bila fingerprint authentication.

Usiachie apps muhimu zikiwa na auto-login.
Lakini, wezi wengi hu:

Zima simu mara moja.

Wanaondoa SIM.

Hupeleka kwa mafundi wa ku-bypass security (ingawa kwa simu mpya kama Samsung, iPhone, TECNO zenye FRP, kazi inakuwa ngumu sana).
πŸ” Mwisho wa Siku:
Remote lock ni kinga, si dawa. Inalinda data zako, si kurudisha simu.
βœ… Faida ya Remote Lock
Kulinda taarifa zako binafsi – Unaizuia simu kufunguliwa na mtu asiye sahihi (anahitaji PIN/Pattern/Password).

Kuzuia uhalifu wa kidijitali – Kama mtu alikuwa anataka kutumia simu yako kuingia WhatsApp, M-Pesa, T-Pesa, au benki, atashindwa.
Wezi wengi hujaribu ku-reset simu haraka, lakini ikiwa Find My Device / iCloud imewashwa na imefungwa kwa account yakoβ€”hawataweza kuivunja kirahisi.
Kama uliwahi kuiwasha Find My Device/iPhone, kuna chance ya kuipata.

Kama haukufanya hivyo, lengo liwe kulinda data zako kwanza.
Kuzuia kuuzwa au kufutwa (Factory Reset Protection) – Simu ikiwa imefungwa kwa akaunti ya Google au iCloud, haiwezi kutumika hata ikifutwa. Hii hufanya wezi wengine wasivutiwe nayo.

Unaweza kuona mahali simu ilipo (kama GPS iko ON) – Hii ni njia pekee ya kujaribu kuifuatilia.
Usiache hii feature ikiwa OFF. Hii trick moja inaweza kuzuia madhara makubwa kama kufunguliwa kwa benki, Gmail, au social media zako.