Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
3. WANAVYOPENYEZA ACCOUNT ZA BENKI

Wezi hujaribu passwords zilizohifadhiwa kwenye browser au app

Kama hujafunga apps zako (kama M-Pesa, NMB, CRDB app), wanaingia moja kwa moja

Wanaweza kuset up line yako kwenye simu nyingine kama hujaweka PIN ya line (SIM card lock)
JINSI YA KUJILINDA KABLA YA TUKIO

Tumia PIN ngumu na strong screen lock

Weka SIM card PIN (ya tofauti na lock ya simu)

Lock apps zako nyeti kwa App Lock

Usihifadhi passwords kwenye browsers bila encryption

Weka 2FA kwenye email na benki
NINI CHA KUFANYA SIMU IKIIBIWA?

Wasiliana na kampuni ya simu kufunga line

Ingia kwenye akaunti zako muhimu kutoka kwa kifaa kingine na ubadilishe passwords

Futa simu kwa mbali (remote wipe) kama umeiweka tayari
1. SIMU IKIIBIWA, NINI KINAFUATA?
Wizi wa simu siyo suala la kifaa tu. Simu nyingi zimeunganishwa na kila kitu: apps za benki, wallets (kama M-Pesa/TigoPesa), emails, na mitandao ya kijamii.

Wezi huwa na mbinu za kuchukua hizi taarifa.
5. WANAVYOHACK EMAIL NA MITANDAO YA KIJAMII

Kama email haijalindwa na 2FA (Two-Factor Authentication), wanai-reset kwa kutumia SMS

Wakiingia email yako, wanaweza ku-reset passwords za apps nyingine (bank, social media, etc)
6. WANAVYOPENYEZA MAJINA NA PICHA ZAKO
Wezi hutumia simu kuwasiliana na ndugu au marafiki ili kuomba pesa kwa jina lako.

Hii ni social engineering attack.
JIFUNZE KUWA NA TABIA ZA USALAMA

Usihifadhi passwords muhimu bila encryption

Usihifadhi picha za vitambulisho, ATM PIN, au namba za kadi za benki kwenye Gallery

Hakikisha backups zako zinatumia encryption
👍1
2. WANAVYOPENYEZA ULINZI WA SIMU

SIM PIN nyingi ni rahisi kubashiri (mfano 1234, 0000)

Fingerprint/Face Unlock huibiwa pamoja na mhusika akiwa usingizini au akiwa hajitambui

Screen lock weak au haipo kabisa

Brute-force unlocking tools zinapatikana mitandaoni
TOOLS ZA KUJILINDA

Find My Device (Android) au Find My iPhone (iOS) – kusaidia kufuta simu kwa mbali

Google Authenticator – kwa 2FA

Bitwarden au 1Password – kuhifadhi passwords salama

App Lock – kufunga apps za pesa
4. WANAVYOPATA ACCESS KWA LINE YAKO

Wakiitoa SIM kwenye simu yako, wanaweza kuiweka kwenye nyingine

Kama haina PIN, wana access SMS zote (OTP codes, reset links)

Wanaweza kusajili SIM Swap kwa kushirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu
︎ Teknolojia

💨Huawei Pura 80 Pro wapo creativity flani amazing sana
🔥🔥
1
︎ Teknolojia

💨Hii Realme inaonekana simu moja imenyooka sana.

Battery 10000mAh🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 Muonekano wa iPhone 17 Pro Max 🔥
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Yajue mambo ambayo yamenishangaza kuhusu #tecnocamon40 kutoka @TECNO Mobile Umeipenda ipi? #tecno #simukitaa #bongo #camon40 #sanukakitaani #ijuesimuyako
KUMBUKA
Tukizungumzia remote lock (kufunga simu kwa mbali), lengo kuu si "kupata simu," bali ni kuizuia isitumike au kuibiwa taarifa zako. Hii ndiyo hali halisi
3. Jinsi ya Kujiandaa Kabla Simu Haijapotea
Weka lock ya fingerprint / face ID / PIN.

Weka SIM card PIN.

Epuka ku-save passwords za benki bila fingerprint authentication.

Usiachie apps muhimu zikiwa na auto-login.
Lakini, wezi wengi hu:

Zima simu mara moja.

Wanaondoa SIM.

Hupeleka kwa mafundi wa ku-bypass security (ingawa kwa simu mpya kama Samsung, iPhone, TECNO zenye FRP, kazi inakuwa ngumu sana).