Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.5K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

Mungu ni mwema nimefika hospital nimewekewa maandishi makubwa, madogo na madogo zaidi niyasome kwa kutumia jicho hili lililo lizima automatic hili lenye jeraha nikafunguka lenyewe kwa namna fulani linaona ila blur kwa mbali.
︎ Teknolojia

💨Vivo S30 Pro mini ya moto sana🔥🔥
︎ Teknolojia

💨Realme Neo 7 Turbo🥶🥶
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 420K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨Asante kutuamini

@Njiwa_Store
@NjiwaFLow

Tunazidi kukufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
2. Brightness & Colours
Original display ina brightness kali, contrast nzuri, na rangi halisi.
→ Fake screen mara nyingi ina mwanga mdogo au rangi zilizofifia.
3. Viewing Angle
→ Geuza simu pembeni, angalia kama picha inabadilika au kuwa blur.
Original huonyesha rangi vizuri hata kwa angle yoyote.
Fake hukosa clarity pembeni.
8. Imebadilishwa Bila Kujua?
→ Angalia edges za screen – kama kuna tofauti kwenye glue, gap au dust, inaweza kuwa fake replacement.

→ Mara nyingi mafundi wasiowaaminifu hubadilisha screen na kuuza original yako.
︎ Teknolojia

💨JINSI YA KUJUA KAMA SIMU YAKO KAMA SCREEN YAKO NI ORIGINAL AU FAKE.

Soma hadi mwisho 🧵👇

Usisahau 🔄
7. Bei ya Kubadilisha Ilikuwaje?
→ Kama uliambiwa ni original screen lakini bei ni ya chini sana – jua huenda uliwekewa fake.

Original screens ni ghali kwa sababu ya quality na durability.
4. Fingerprint Sensor Issues
Kama fingerprint haifanyi kazi vizuri baada ya kubadilisha screen,

→ Huenda waliweka screen isiyo ya kiwango (low-quality copy).
9. Bonus Tip: Jua Screen ya Simu Yako Mapema
→ Kabla ya kuharibika, google model yako + “display type” (mf. AMOLED, IPS).

→ Hii itakusaidia ukijua wanakudanganya au la.
1. Touch Sensitivity
Screen fake huwa na delay au inahitaji nguvu zaidi kubonyeza.
→ Jaribu kuandika haraka au kupiga swipe – kama iko slow au inakosea, hiyo ni red flag.
5. Hakiki Kwa App
Tumia apps kama Device Info HW au Phone Info kuangalia screen model & type.

→ Kama info haionekani au iko tofauti na original spec, hiyo ni copy.
6. Gorilla Glass? Jaribu Scratch Test Ndogo

→ Original screen mara nyingi ina Gorilla Glass au glass ngumu.

→ Fake hupata mikwaruzo kirahisi – unaweza kujaribu kwa kitu butu (usitumie chuma).
💨 Account ya @SimbaSCTanzania nayo iko hacked baada ya ile ya police
︎ Teknolojia

💨Kampuni ya Tecno wametengaza ujio wa product yao mpya.
Tecno Megabook S6 yenye features za Ai smart.
Tecno Megabook S6 inakuja na screen yenye inch 16.
👇
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A56 5G (8+128) - 1M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
💭 Airtel imeamua kuchukua Hatua za awali kwa kuzifunga. Akaunti zao za mitandao ya kijamii ili kuepusha usambazaji zaidi wa taarifa hizo za Uongo zenye lengo la kuipotosha Jamii na kuleta Taharuki.
💭 Airtel imesema inawaomba wateja wao waendele kuwafuatilia kupitia mitandao ya kijamii ya Instagram, Facebook na LinkedIn pekee.