Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.5K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

" Airtel Tanzania inapenda kuutaarifu umma kuwa akaunti za mitandao ya kijamii za Airtel Tanzania za Twitter maarufu X na You Tube zimedukuliwa na watu wasiojulikana na kusambaza machapisho ya taarifa za upotoshaji hivyo zinapaswa kupuuzwa."
︎ Teknolojia

💭 Mitandao ya kijamii ya Airtel Tanzania kuanzia YouTube na mtandao wa X umedukuliwa na watu wasiojulikana na kusambaza taarifa za uongo kuhusu Airtel nchini Tanzania.

Airtel waliweza kutoa taarifa hiyo kupitia akaunti ya Instagram wakisema ;👇
︎ Teknolojia

💭 Aidha uongozi wa Airtel Tanzania umetoa taarifa kwa mamlaka husika ili kuchunguza kwa ukaribu chanzo cha machapisho hayo na kuwachukulia hatua za kisheria waliohusika.
︎ Teknolojia

𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝗔𝗶𝗿𝘁𝗲𝗹 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘂𝗺𝗲𝗱𝘂𝗸𝘂𝗹𝗶𝘄𝗮

💭 Katika matukio ya kushangaza yanayoendelea nchini Tanzania kuhusu Usalama wa mitandaoni baada ya Kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania Airtel kudukuliwa.

Threads 👇👇
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE SERIES 🥶

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.25m
▪️Phone2a (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 PIXEL MPYA (Non Active)💥

▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)👇
▪️Pixel 7 (8+128) - 630K
▪️Pixel 7a (8+128) - 630K
▪️Pixel 8 (8+128) - 950K
▪️Pixel 8a (8+128) - 950K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
💡 Leo nakuletea prompt nzuri ukijaribu kuandika hivi basi picha yako itatokea kama hizo unazozitazama kwenye slide sogeza kuangalia Tafadhari.
︎ Teknolojia

Lakini ngoja kwanza hivi unajua maana ya prompt ?? 🙄

Okay kwa ufupi tu ni ujumbe ambao unauandika kutoa maelekezo ya kitu gani unahitaji kufanyiwa inawezekana kwenye Picha, video, au ujumbe wowote ila unachokiandika ndipo kinachokupa matokeo yake.
︎ Teknolojia

Fanya hivi fungua ChatGpt kisha andika hivi mfano change into cyberpunk style utaona matokeo yake hakikisha una upload picha yako

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi 💡
︎ Teknolojia

. Watercolor style
︎ Teknolojia

. Aesthetic style
︎ Teknolojia

. Claymation style
︎ Teknolojia

. Cyberpunk style
︎ Teknolojia

. Fantasy storybook style
︎ Teknolojia

. Origami style
@Huduma

. Dreamwork style
︎ Teknolojia

💨Xiaomi Redmi 14C (Official)

▪️(4GB RAM, 128GB ROM) - 300,000
▪️(8GB RAM, 256GB ROM) - 350,000

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Hivi inakuwaje hii namba ambayo sio yangu inakuwa inafanya majaribio ya kureset PIN za Mpesa alafu natumiwa text kwenye line yangu niidhinishe.