Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.5K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

💨 Kwenye hili suala jamaa huwa hawacheki na wowote.
Remote Lock ni feature inayoruhusu simu kufungwa kwa mbali, bila ya mtu kuwa nayo mkononi.

Inatumiwa sana pale simu inapopotea au kuibiwa, lakini pia inaweza kutumiwa vibaya!
Dalili Simu Yako Iko Hatarini:

Ulishawahi ku-log in kwa akaunti ya mtu

Unatumia password zilezile sehemu tofauti

Haujaset 2FA (Two Factor Authentication)

Mtu ana access ya barua pepe zako
Je, hii ni halali?
Ndiyo — kisheria hii ni feature halali ya ulinzi.
Lakini: Ikitumiwa vibaya na mtu wa karibu au ex wako, inaweza kuwa kosa la jinai — hasa kama aliipata bila idhini.
︎ Teknolojia

💨JE UNAJUA SIMU YAKO INAWEZA PIGWA REMOTE LOCK IKIWA MBALI NA MTU MWINGINE?

Unajua Simu Yako Inaweza Kupigwa Remote Lock Bila Wewe Kujua?
→ Yaani mtu anaweza kufunga simu yako remotely hata kama hakuiba?

Shuka🧵👇
Kindly 🔄 ufike mbali
Vipi kama simu imefungwa tayari?

Jaribu kufungua kwa akaunti yako halali

Wasiliana na Google/Apple support

Kama haifunguki, proof ya umiliki inaweza kusaidia polisi au wataalamu wa tech kusaidia recovery
Mfano kwenye Android:
Mtu akiwa na access ya Gmail yako, anaweza kufungua [Find My Device] na kubofya:
→ “Secure Device”
→ Ataweka password mpya na ujumbe wa lock!
iPhone nayo ina [Find My iPhone] kupitia iCloud:
→ Ingia kwa Apple ID
→ Chagua kifaa
→ Bofya Lost Mode
→ Simu yako itafungwa remotely hata bila kuunganishwa na mtandao papo hapo.
Kumbuka:
Simu si tu kifaa — ni sehemu ya maisha yetu.
Mtu akidhibiti simu yako remotely, anaweza:

Kuiba data zako

Kufunga biashara yako

Kukusababishia stress kubwa
Unajilindaje?

Badilisha password zako mara kwa mara

Tumia 2FA kwenye Google/Apple ID

Ondoa vifaa visivyofahamika kwenye account yako

Usilogin kwenye simu au kompyuta ya mtu mwingine
Vipi mtu anaweza kufanya hivi?

Kama aliwahi kupata access ya Google/iCloud yako

Kama ulilogin kwenye kifaa chake

Kama ulishare credentials zako bila kujua

Kama ulidanganywa na link ya phishing
︎ Teknolojia

💨Mfano hawa wote wakawekeza kutengeneza simu moja... camera 🥶📸
︎ Teknolojia

💨Kampuni ya Amazon kwa sasa wanamekuja na njia ya kutumia drones kufanya delivery kwa wateja wa iphone na Galaxy.

Hii gharama yake ni $4.99

Hii ni kwa taifa la Marekani pekee.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Chopa! hizi hesabu zinavyopigwa hapa na namna hawa jamaa wanavyoweza kucheza na muda kwenye kupangilia matukio yao ni akili kubwa inatumika hapa.

Binafsi bado naamini CDM itabaki kuwa ni imani.
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 650K
▪️Note 13 Pro 5G (8+256) - 780K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 750K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 900K
5. Weka Email Backup Salama na Secure Password
→ Watu wengi hupoteza account kwa sababu email yao ndiyo imehackiwa.
→ Hakikisha email yako nayo ina 2FA.
10. Update App Mara kwa Mara
→ Updates huleta patches dhidi ya security bugs.
→ Epuka kutumia X kwa browser isiyojulikana au app ya kutiliwa shaka.
3. Usihifadhi Password Browser Bila Ku-encrypt
→ Password zako zikiwa saved kwa browser bila protection, zipo hatarini.
→ Tumia password manager salama kama Bitwarden au 1Password.
8. Usitoe Number au Code Yoyote Unayotumiwa kwa DM
→ Social engineering ni njia rahisi ya hackers kupata access kupitia wewe mwenyewe.
→ No one from X will DM you asking for codes.