Teknolojia
132 subscribers
3.8K photos
4.5K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
9. Kagua Health ya OS
→ Fungua Developer Options (7x tap Build Number)
→ Cheki background processes, animations, CPU usage.
→ OS Corruption inaweza kuwa chanzo cha matatizo mengi ya simu.
4. Test Screen na Touch Sensitivity
→ Fungua white background au piga screenshot – cheki kama kuna sehemu zenye madoa au rangi isiyo ya kawaida.
→ Gusa kona zote: kama kuna sehemu hazijibu, touch sensor inaweza kuwa mbovu.
6. Angalia Network & SIM Problems
→ Settings > SIM > Network settings
• Kama line inakatika au data haishiki, chunguza:

Sim slot

APN settings

Band compatibility (hasa kwa imported phones)
︎ Teknolojia

💨Hawa wadau wamezidi sasa
︎ Teknolojia

💨 SAMSUNG GALAXY A55

▪️24 MONTHS WARRANTY FOR SOFTWARE
▪️12 MONTHS WARRANTY FOR DISPLAY

💥128GB. 900,000Tsh
💥256GB. 1,050,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
💭 Satellite hiyo itaweza kusaidia Tanzania kuondokana na changamoto ya kutumia satellite za nchi jirani badala yake kuweza kutumia satellite yake mwenyewe katika kufuatilia maendeleo na usalama wa nchi kupitia satellite.
💡 Waziri silaa anasema serikali imeingia mikataba miwili;

mkataba wa kwanza ni mkataba wa Anga za juu wa mwaka 1967 ambao unaainisha kanuni zinazoongoza mataifa katika uchunguzi na Matumizi ya anga za juu.
︎ Teknolojia

💭 Hatimaye Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuweza kutia saini na shirika la anga za juu OTHE, kwa kujipanga kuweza kurusha satellite yake ya kwanza angani ili kusaidia katika mambo mbalimbali.
︎ Teknolojia

Hii ni lengo la Serikali ya Rais Dkt. Samia suluhu Hassan kuhakikisha kuwa Tanzania inakua

na satellite yake ilikusukuma mbele maendeleo ya taifa katika nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi, usalama na Mawasiliano.
Hakika Serikali ya mama imepiga mwingi🔥
@SuluhuSamia
@JerrySilaa
︎ Teknolojia

💭 Taarifa hiyo iliweza kutolewa bungeni tarehe 16, Mei 2025, na Waziri wa Masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Jerry Silaa akiwasilisha bajeti ya mwaka 2025 / 2026 bungeni.
︎ Teknolojia

𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗸𝘂𝗿𝘂𝘀𝗵𝗮 𝘀𝗮𝘁𝗲𝗹𝗹𝗶𝘁𝗲 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗮𝗶𝗻𝗶 𝗺𝗸𝗮𝘁𝗮𝗯𝗮

Hatimaye Serikali ya Tanzania yafanya jambo kubwa kuelekea mwaka 2026 🔥🔥🔥

Thread ni yako
︎ Teknolojia

Mkataba wa pili ni Mkataba kuhusu Usajili wa mwaka 1975 ambao unahusu usajili wa vitu vinavyorushwa kwenda anga za juu.
︎ Teknolojia

💨Asante mwanafamilia
@Njiwa_Store
@NjiwaFLow
Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana.
Bonus Tip:
Kwa Android, nenda Settings > Accounts > Google > Remove Account.
Kwa iPhone, nenda Settings > iCloud > Sign Out.

Usipofanya hivi, hata baada ya Reset, mtu mwingine ataweza kutumia simu yako!
︎ Teknolojia

💨Je, Simu Yako Inaweza Kununuliwa Tena Bila Wewe Kujua?

Watu wengi huuza au kupoteza simu wakiamini wamefuta kila kitu... kumbe bado data zao zipo ndani.

Shuka🧵👇
Usisahau🔄
Hatua sahihi kabla ya kuuza/kutoa simu:

Futa backup zote (Google/iCloud)

Ondoa account zote kwenye simu

Fanya Factory Reset

Toa SIM card & SD card

Hakikisha imeboot hadi mwanzo kama simu mpya
Kosa kubwa:
Kufanya Factory Reset bila kuondoa akaunti zako (Google au Apple ID).

Simu huonekana kama bado ni mali yako, lakini data zinaweza kurejeshwa kirahisi.
Na ukishasahau password, kila kitu kinafunguka!
Watu wengi huuza simu zao bila kujua
vibaka au wanunuzi wa mitumba wanaweza kuirejesha na kutuma:

Picha zako

Meseji

Backup zako za WhatsApp

Akaunti zako za Google/iCloud
Usikubali taarifa zako zifutwe juu juu tu.

Simu ikitoka mikononi mwako, hakikisha imekuwa tupu kama mpya.
︎ Teknolojia

💨 Leo usiku nilijigonga kwenye angle ya jiko nikatapika sana nimeamka asubuhi jicho moja halifunguki hofu yangu kubwa nasikia ukiwa chongo husuhusiwi kuendesha Subaru Forester TX 2013 new model ya Japan moja kwa moja.