Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Kabla ujanunua simu zingatia mambo Aya !!!
Watu wengi wamekua na tabia ya kutaka kumiliki simu ila changamoto wakifika dukani au kwa mtu wanashindwa kujua mambo Gani wazingatie wapate simu iliyobora kwao!!

Tizama iyo video utajifunza jambo

Teknolojia ni Yetu sote

#swahilitech #simu #maujanja #bongotech255
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Hamisha file kutoka kwenye simu kwenda kwenye kompyuta bila USB | SOFTWARE
Sasa fahamu njia rahisi ya kuweza kuhamisha ma file yako yoyote Yale kutoka kwenye simu na kupeleka kwenye kompyuta au kutoka kwenye kompyuta kupeleka kwenye simu bila kutumia software au USB yoyote Ile.

Telegram group 👇

BongoTech255🖥🌐
Karibu 🔥🔋🌍
https://t.me/bongoTechs255

Teknolojia ni Yetu sote 😇

#swahilitech #bongo #fahamu #simu #kompyuta
bongotech255 - Twitter kuna Nini Tena ??

Hello wana...

bongotech255 - Home | Facebook

Twitter kuna Nini Tena ??

Hello wana teknolojia ya #bongotech255 mubalikiwe sana kwa kuendelea kutufuatilia kupitia mitandao Yetu mbalimbali ya kijamii. Sasa tunapatikana Twitter karibuni sana kule kutakua na thread za kikubwa zaidi karibuni sana tuweze kujifunza teknolijia kwa pamoja Tunatumia jina la #bongotech255 link iko kwenye insta story Yetu gusa sasa tukajifunze vitu vya kikubwa😄 zaidi Naimani 😊tunajitahidi kuwajuza Yale tunayoyajua au Wana familia mnasemaje !! #bongotech255 #twitterquotes #twitter #swahilitech #bongo #tanzania #teknolojia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jinsi ya kutengeneza wallpaper zinazobadilika..dynamic lock screen #lockscreen#dynamiclockscreen#tanzaniatech#swahilitech#fyppppppppppppppppppppppp #tiktokkenya #tiktok #tiktoktanzania #fyyyyyyyyyyyyyyyy #trends2024 #happynewyear