Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Aliyehusika Kutengeneza App ya @airtanzania_atcl kama ni mtanzania basi amefanya kazi nzuri sana nampa maua yake #techinswahili
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kama ni mmoja kati ya wale ambapo hawana uelewa wakutosha kuhusu EUNICE ,video hii inakufaa sana #techinswahili
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mwambie @officialzuchu amafenya nyingi sana ila hii kwangu ni bora kuliko zote ! Eti niende wapi ? @wasafifm au @crownfmtz ? Mizuka flani ya Radio kipindi hiko #techinswahili
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Najaribu kutaka kuelewa wazo la @avischiffmann kuhusu hii FRIEND AI ila napata mashaka kwa nchi zetu za AFRIKA ! inatufaa kweli ? Full video kuhusu Friend ipo Youtube Teyari Hii imepewa nguvu na @mandasistore #techinswahili #friend
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kitu kidogo sana lakini kina umuhimu mkubwa sana.Ipi umeipenda zaidi #techinswahili
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Keyboard ya TZS 250,000 "Logitech Craft" ,Vyote muhimu kuhusu hii keyboard utakuta Youtube ! #techinswahili