Teknolojia
134 subscribers
3.83K photos
4.65K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ†• Sasa unaweza kubali ukubwa wa windows ya simu kwenye iPhone Mirroring
πŸ“Š Faida, mauzo na matumizi ya kampuni ya Tesla kwa robo ya pili ya mwaka huu (Q2 2024)
πŸ†• Apple itafanya mabadiliko makubwa ndani ya simu zake mpya za iPhone 16 kuthibiti joto na kusaidia simu zisipate sana joto.

- Apple itaongeza ukubwa wa graphite sheet ndani ya iPhone kukabiliana na tatizo la simu kupata sana joto
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

INCREDIBLE FARMS THAT WILL SHOCK YOU
Mind Warehouse β–Ί

1) Interstellar Lab BioPod


2) Meteor Systems Hydroponic F
πŸ†• Meta Platforms Inc. imetoa mfumo wake mpya wa akili bandia wa Llama 3.1

πŸ”˜ Mark Zuckerberg amesema mfumo huo una nguvu sawa na OpenAI na Google Gemini

πŸ”˜ Kitu kikubwa ambacho Mark atashinda AI nyingine ni kuifanya AI yake kuwa open-source!
πŸ†• Apple Intelligence itakuwa na uwezo wa kutengeneza Covers na Playlists kwa kutumia Akili Bandia kwenye Apple Music
Watabe bado wanaishi humu tu, maisha ni simple
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Tofauti ya "Circle to Search" VS "Google Lens" / Z Fold / Flip 6
#galaxyai #fold6 #flip6
#Tofauti ya "Circle to Search" VS "Google Lens" / Z Fold / Flip 6
πŸ†• Proton imezindua Wallet ya Crypto
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

@abstractmethod explained in Python
In this video I'm going to be showing you how you can use @abstractmethod in Python!
πŸ†• Apple imeanza kuweka Apple Map kwenye mfumo wa tovuti ili kushindana na Google Map.

πŸ”˜ Itakuwa sio kazima kuwa na kifaa cha Apple ili kitumia Apple Map.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Top 10 Magari Bora na Bei Rahisi 2024
Karibu kwenye Maujanja Zone! Katika video hii, tutakupa orodha ya magari bora na ya bei nafuu yanayopatikana nchini Tanzania. Tunajua kuwa kununua gari la mitumba linaweza kuwa changamoto, lakini tutakusaidia kuchagua gari bora kwa bei nafuu. Tazama video hii kwa maelezo kamili na usisahau kujisajili kwa ajili ya video zaidi kuhusu magari na ushauri wa kitaalamu.
Gundua orodha ya magari bora na ya bei nafuu yanayouzwa nchini Tanzania. Video hii itakusaidia kupata gari la ndoto yako bila kuvunja benki!

Video hii itakusaidia kupata gari la ndoto yako bila kuvunja benki! Magari yaliyoorodheshwa ni Subaru Forester, TOYOTA Harrier, MAZDA CX-5, TOYOTA Alphard, TOYOTA IST, TOYOTA Noah, MAZDA Verisa, TOYOTA RAV4, na NISSAN X-Trail.

Angalia orodha ya magari ya bei nafuu unayoweza kununua nchini Tanzania. Pata maelezo kamili kuhusu magari haya na kwa nini ni chaguo bora kwa bajeti yako
πŸ†• Sasa unaweza kutumia Apple Maps bila kulazimika kuwa na kifaa cha Apple

πŸ‘‰ beta.maps.apple.com/ https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1816316449473921318#m
πŸ†• Apple inarudisha uzalishaji wake mkubwa nchini China, baada ya kupata changamoto nyingi kwenye uzalishaji wa iPhone 15 nchini India

Apple imerudisha uzalishaji wake kwa BYD na Luxshare Precision za China.

India kumekuwa na changamoto ya mzunguko mbaya wa gharama na usafi.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

THIS MOBILE BRIDGE ALLOWS ROAD REPAIRS WITHOUT STOPPING TRAFFIC
1) NSNW Mobile Crossing System


2) Umbrellium Starling
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

ChatGPT Prompt Engineering for Website Mastery!
Master the art of ChatGPT prompt engineering for websites with our comprehensive guide! In this video, we break down essential techniques and tips to help you optimize your website using advanced ChatGPT prompts. Whether you are a beginner or an experienced developer, you will find valuable insights to improve your website's performance and user engagement. From creating effective prompts to integrating them seamlessly into your website, we cover it all. Watch now and take your website development skills to the next level with ChatGPT!

#ChatGPT
#PromptEngineering
#WebsiteDevelopment
#SEO
#WebOptimization
#TechTips
#AI
#WebDesign
#DigitalMarketing
#Coding