Teknolojia
134 subscribers
3.83K photos
4.65K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ†• Picha za matangazo ya Google Pixel 9 zimevuja.

πŸ”˜ Zinaonyesha Pixel 9 Pro XL na Pixel 9 Pro Fold, zenye muundo mpya na vipengele vya AI.
Picha nyingine πŸ‘‡
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ›°οΈ NASA imefanikiwa kutuma video za 4K kutoka kwenye ndege hadi Kituo cha Kimataifa cha Anga (ISS).

πŸ”˜ Njia hii inaweza kutuma data 100x haraka kuliko mawimbi ya redio. Katika siku zijazo, tunaweza kuona matangazo ya moja kwa moja ya 4K kutoka Mwezi kwenye TV za 8K! πŸš€πŸŒ•
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

APP 10 BORA ZA MIKOPO KWA NJIA YA SIMU
App 10 bora za mkopo kwa njia ya simu.
mkopo kwa njia ya simu ya mkononi

Karibu Maujanja Zone! Katika video hii, tunakuletea app 10 bora za mikopo unazoweza kupakua kwenye Play Store na kupata mikopo kwa urahisi kupitia simu yako. Kama unatafuta njia rahisi ya kupata fedha za dharura, video hii ni kwa ajili yako. Tunaangalia app zenye urahisi wa matumizi, riba nafuu, na huduma bora kwa wateja.
App zilizojadiliwa katika video hii ni:
1. Branch
2. Pesax
3. TigoPesa kupitia Nivushe Plus
4. Twiga Loan
5. NMB Bank Mobile Service kupitia Mshiko Fasta
6. Mkopo Wako
7. Cashx
8. Pata Pesa
9. Twinga Loan
Kwa nini uangalie video hii?
β€’ Maelezo ya Kina: Tunakupa maelezo ya kina kuhusu kila app, faida zake, na jinsi ya kuzipata.
β€’ Urahisi wa Matumizi: Jifunze jinsi ya kutumia app hizi kupata mikopo haraka na kwa urahisi.
β€’ Tips za Mikopo: Pata vidokezo muhimu vya jinsi ya kudhibiti mikopo yako na kuimarisha historia yako ya mikopo.
Usisahau:
β€’ Kutoa...
πŸ†• Apple inajipanga kuanza kutumia sensor za Samsung kwenye kamera yake ya Ultrawide kwenye iPhone 18.

πŸ”˜ Tayari Samsung na Apple zimekubaliana na Samsung imeandaa team na kitengo maalum.

πŸ”˜ Apple itaacha kutumia sensor za Sony, na mwaka 2026 itaanza utaratibu mpya.
πŸ†• AMD bado inachelewa kuzindua chip za Ryzen 9000 Series kwa sababu ya changamoto za kiubora.
β€ŒπŸŒ Kwa ambao wangependelea kujiunga kwenye mfumo wa mwanzo wa majaribio.

Link: chatgpt.com/search
πŸ’° Ripoti mpya zinaonesha matatizo ya kimfumo yaliyotokea wiki iliyopita yamepelekea hasara ya zaidi ya dola bilioni 5.4 (~shilingi trilioni 14.6)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ†• OpenAI inafanya majaribio ya kutengeneza Search Engine yake ambayo itashindana na Google.

πŸ”Ž SearchGPT itakuwa inatumia akili bandia kuleta majibu, links na taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali mtandaoni kama Google
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ†• Mwonekano wa One UI 7 umevuja, inaonekana itakuwa na style kama Dynamic Island ya iOS na animations mpya na baadhi ya icons zimebadilika.