Teknolojia
134 subscribers
3.83K photos
4.65K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Samsung inatarajiwa kutoa Galaxy Z Fold 6 Slim pamoja na Galaxy Tab S10+ mwezi Oktoba, zikiwa na muundo mwembamba na skrini kubwa zaidi.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kufanya Maombi ya mkopo HATUA KWA HATUA. Elimu ya juu
jinsi ya kufanya maombi ya mkopo wa elimu ya juu HESLB OLAMS

jinsi ya kufanya application ya mkopo elimua ya juu(chuo kikuu)

mkopo kwa simu yako
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

HERE'S HOW THE POLICE STOP VIOLATORS
Mind Warehouse ►

1) NightHawk & StopStick




2) PIT Maneuver







3
🆕 Kampuni ya Apple inaripotiwa kuwa inatengeneza iPhone inayokunjika, ambayo inatarajiwa kuzinduliwa mwaka 2026.

🔘 iPhone inayokunjika inaweza kuanzishwa kabla ya iPad inayokunjika, kinyume na matarajio ya awali.
🆕 Kuna tetesi mpya zinaonyesha iPhone SE itakuwa na chip mpya ya A18

🔘 Hii ni chip sawa na chip ambazo zitatumika kwenye iPhone 16 za kawaida (ambazo sio Pro)
🆕 One UI 7.0 itakuwa na animations ambazo zipo smooth zaidi, muda si mrefu mfumo wa majaribio (Beta) utaanza kutoka rasmi.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

When Companies Copy Each Other...
The Samsung Galaxy Watch Ultra is great.... it's also a pretty shameless rip.

MKBHD M
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi note 12s hyperOS frp bypass , chimera tools
Xiaomi redmi note 12s hyperOS frp bypass , chimera tools
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
telegram
@techshowmobile1374
Gmail
techshow1374@gmail.com
##xiaomi #frp #frpbypass #redmi #note12s #hyperos #chimeratool #mtk #googleaccountremove #googleaccount #unlocktool #unlock #mobilerepairing #mobile
🆕 Rolls-Royce imepokea ufadhili wa ziada wa dola milioni 6.2 za Marekani kutoka kwa Shirika la Anga la Uingereza (UKSA) ili kuendeleza teknolojia muhimu kwa ajili ya mtambo mdogo wa nyuklia ambao unaweza kutumika kutoa nishati kwa vituo vya mwezi na uendeshaji wa vyombo vya anga
🆕 Icon ya Stocks imefanyiwa mabadiliko kidogo
Samsung ina-copy Apple wazi wazi bila wasiwasi! https://twitter.com/mngwema_tz/status/1816036076923789428#m
🆕 Apple imeongeza sehemu mpya ya 'Type to Siri' katika sehemu ya AssistiveTouch
🆕 icon zinaweza kujibadilisha na kuwa na rangi nyeusi muda wa kubadilika Dark Mode mfano usiku - ukichagua Automatic.
📊 Faida, mauzo na matumizi ya kampuni ya Alphabet (Google, YouTube) kwa robo ya pili ya mwaka huu (Q2 2024)