Kushindwa kwa Hyperloop - kutatoa fursa kubwa katika reli za mwendo kasi duniani
π‘ Teknolojia ya Hyperloop ina uwezo mkubwa sana lakini gharama yake ni kubwa sana. Hivyo itachelewa kutumika katika miji mikubwa duniani.
π‘ Reli za Mwendokasi (High-Speed Rail System) ndio zitachukua soko kwa sasa! https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1738427831909044495#m

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Wapi ulipo ndani ya #eastafrica
Huyu ndie mwamba na mastermind wa teknolojia mpya ya kutengeneza chip bora za China ambazo zinashindana na Intel, TSMC, na Samsung.
Anaitwa Chiang Shang-yi - alikuwa kiongozi wa juu katika kampuni za R&D, TSMC na Foxconn. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1739184739490169280#m

π Kampuni ya SMIC ambayo ni kampuni kubwa ya kiteknolojia ya China imeanza kuunda chip za 3nm Process!
π Marekani iliinyima China teknolojia ya EUV ambayo inaunda chip zenye ubora zaidi ya teknolojia ya DUV kwa kuwa EUV ina uwezo mzuri wa kubananisha transistors ndogo sana na katika idadi kubwa kwenye chip hivyo kupelekea chip kuwa na ubora na uwezo mkubwa zaidi.
π Mwaka huu China iliishangaza dunia baada ya Huawei kutoa simu ambayo inatumia chip ya 7nm ambayo ina kiwango cha toleo la pili la 7nm ambayo ni bora kuliko 7nm ya Samsung.
π Wataalam wa teknolojia walitabiri China inaweza kutengeneza chip za 5nm kwa DUV lakini mwezi huu Jarida kubwa la Nikkei Assia limethibitisha China inaelekea katika 3nm kwa kutumia DUV. Kitu ambacho kitashangaza sana wengi kwa sababu hakuna anayefahamu wala kutegemea mashine za DUV zinaweza kuunda chip za 3nm ambazo zina transistors nyingi zaidi.
Habari hii ni kubwa kwa sababu itakuza soko la chip za China kuwa kubwa na kujitegemea katika teknolojia na kukuza ushindani.

π1
Huyu ndio mwamba na mastermind wa teknolojia mpya ya kutengeneza chip bora za China ambazo zinashindana na Intel, TSMC, na Samsung.
Anaitwa Chiang Shang-yi - alikuwa kiongozi wa juu katika kampuni za R&D, TSMC na Foxconn. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1739184739490169280#m
Anaitwa Chiang Shang-yi - alikuwa kiongozi wa juu katika kampuni za R&D, TSMC na Foxconn. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1739184739490169280#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
Google Bard vs ChatGPT
π Dive into the ultimate AI showdown: Google Bard vs ChatGPT! π€π₯
In this in-depth comparison, we pit two of the most talked-about AI language models against each other. Google Bard, with its integration into the vast ecosystem of Google, and ChatGPT, known for its conversational prowess and OpenAI's cutting-edge technology. Who will come out on top?
π What you'll learn in this video:
The origins and development of Google Bard and Ch...

Chat gpt inamjua mpaka miso misondoπ€£π€£π€£π€£#misomisondo#chatgpt#hapynewyear #2024#trendings #tiktoktanzania #foryoupage #tehamaonline #graphicsdesigning #programming
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
All in One| Jinsi ya kutuma Text kwenda kwenye Computer

--------

Making Classes Sortable & Comparable In Python
In this tutorial we will be learning how we can make our Python classes b

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
25 COOL TOOLS YOU DIDN'T KNOW ABOUT
Mind Warehouse βΊ
1) Roberts Knee Kicker
2) Fiskars WoodXpert
3) SKIL
25 COOL TOOLS YOU DIDN'T KNOW ABOUT
Mind Warehouse βΊ
1) Roberts Knee Kicker
2) Fiskars WoodXpert
3) SKIL
π Samsung imezindua app yake ya βSamsungPhoneβ kwa watumiaji wa Windows.
π Watumiaji wa simu za Samsung wataweza kupiga na kupokea simu kwa kutumia kompyuta
π Watumiaji wa simu za Samsung wataweza kupiga na kupokea simu kwa kutumia kompyuta
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Madhara ya kutumia tiktok kwa muda mrefu na jinsi ya kuiset tiktok ikukumbushe pendi muda wa kupumzika ukifika##screentime #tiktok #happynewyear2024 #happynewrear #tiktok #tiktokkenya #tiktoktanzania #fyyyyyyyyyyyyyyyy #foryoupage #trendings #trendings #tehama #tehamaonline #techinswahili #tanzaniatech
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
Jifunze coding lugha C { 10 } |#nk
Jifunze coding lugha C { 10 } |#nk
-----
- Channel yetu mpya ya Shorts:
- NK on TI
Jifunze coding lugha C { 10 } |#nk
Jifunze coding lugha C { 10 } |#nk
-----
- Channel yetu mpya ya Shorts:
- NK on TI