Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.71K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

A032F Samsung A03 Core Frp Bypass Without PC
samsung a03 core frp bypass without pc,samsung a032f frp bypass,samsung a03
πŸ†• Telegram imeweka uwezo wa kuweka β€œscheduled posts” kwenye Telegram Channels.

πŸ”˜ Watumiaji wanaweza kuamua post ijiweke kwenye Channel katika muda na siku ambayo wanachagua wenyewe.
πŸ†• TikTok imeanza majaribio ya kuweka Creator Center kwa watumiaji wa kompyuta.

πŸ’‘ Itakuwa ni rahisi sana kusimamia akaunti za TikTok kwa kutumia kompyuta.
Kampuni ya Motorola imetoa simu mpya ya Moto G34. Ni simu ya kulenga soko la simu za bei ndogo.

π™Žπ™žπ™›π™– π™―π™–π™ π™š 𝙠𝙬𝙖 π™ͺ𝙛π™ͺπ™₯π™ž:

πŸ“± 6.5’’, 720 x 1600 pixels, 120Hz
🧠 Snapdragon 695 5G (6 nm)
πŸ’Ύ 128GB 8GB RAM
πŸ“² Android 13
πŸ“Έ Wide 50MP, Macro 2MP, Selfie 16MP
πŸ“Ή 1080p/30fps
πŸ”‹ 5000mAh
⚑️ Inachaji 18W kwa waya
πŸ“Ά 5G, Dual SIM, Wi-Fi, Bluetooth
Mtandao wa Bluesky umefanya mabadiliko makubwa.

πŸ”˜ Bluesky imebadilisha logo yake na kutumia logo ya Kipepeo πŸ¦‹ na rangi ya Blue. CEO wa Bluesky amesema alama ya kipepeo inamaanisha mageuzi makubwa na kuwa huru.

πŸ”˜ Sasa watumiaji wanaweza kutazama posts za bluesky bila kulazimika kuingia kwenye akaunti.

πŸ”˜ Post zake zinaweza kuwekwa kwenye Website na zitaonekana kwa watazamaji wote.

πŸ”˜ Pamoja na maboresho ya kuboresha speed na mfumo wake.
πŸ†• Ukitumia app ya Threads katika Dark-Mode inaweka effects za snowfall 🌨️ katika upande wa juu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jinsi ya kufuatilia simu ya mpenzi wangu....We can not answer this question because it is against tiktok community guidelines and standards since it promotes cyber crimes....but also our country laws do not allow this but also teaching this its so dangerous to our health as well as our relationship ..#hacking#tracking#phome#kudukua#trendings #foryoupage #fyyyyyyyyyyyyyyyy #tiktoktanzania #tiktokkenya #tiktokkenya #tiktok #happynewrear #happynewyear2024
πŸ†• Microsoft Edge imetambulisha uwezo wake mpya wa β€œSuper Drag Drop”

πŸ’‘ Ni njia mpya ya kufungua tabs kwa kutumia Mouse kwa njia rahisi. Unaweza kufungua links, picha au texts kwa kuzibeba na kuziweka kwenye Website Bar au katika alama ya kufungua tabs mpya.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

#tricks from future | Tengeneza Touch Screen button ya kuwashia computer
#tricks from future | Tengeneza Touch Screen bu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

How to use ChatGPT's new β€œCode Interpreter” feature
πŸš€ Dive into the future of coding with ChatGPT's latest feature - the "Code Interpreter"! In this comprehensive tutorial, we'll guide you through every step of utilizing this powerful tool to streamline your coding process. Whether you're a seasoned developer or just starting out, you'll learn how to leverage ChatGPT to write, debug, and optimize your code like never before. πŸ› οΈ

πŸ” What You'll Learn:

The basics of ChatGPT's "Code Interpreter" feature.
How to integrate the feature into your existing coding workflow.
Tips and tricks for getting the most out of ChatGPT's AI capabilities.
Real-world examples of the "Code Interpreter" in action.

πŸ’‘ Why Watch This Video?

Stay ahead of the curve in the evolving world of AI-assisted coding.
Improve your coding efficiency and reduce errors with AI insights.
Discover how to make ChatGPT a valuable part of your development toolkit...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸš€ Roketi ya Falcon Heavy inavyotua, unaweza kuhisi ni movie ya Sci-Fi !!!
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Create amazing electronic projects , Top 6 simple electronic projects
Top 6 simple electronic projects , Create amazing
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

History fupi ya Snashtz, Hadi Kufika Hapa "Creators Meetup"
#snashtz #technology #history
History fupi Snashtz, Hadi Kufika Hapa "Creators Meetup"
πŸ†• GM imesitisha kuuza magari ya Chevy Blazer baada ya kugundua tatizo kubwa katika mfumo wa magari hayo.

πŸ”˜ Watumiaji wengi wamepata matatizo; screen yake inasumbua kwa kuzima na kuweka rangi nyeusi - baada ya muda inasema gari linahitaji service. Inaweza kutokea gari ikiwa kwenye mwendo na kupelekea ajali wa kusababisha panick.

πŸ”˜ GM imesema inachunguza kwa kina kuhusu mfumo wake wa kuonyesha taarifa za gari.