Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
𝗠𝗷𝗶𝗵𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗶 𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗘𝘅𝘁𝗲𝗿𝗻𝗮𝗹 𝗙𝗮𝗸𝗲 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘀𝗮𝗺𝗯𝗮𝗮

Inawezekana ukawa unasema kompyuta unayotumia Ina SSD ndani kumbe kiwaulisia SSD iliyopo ndani ni fake 😲 Haina nguvu yoyote.

Kuna SSD zinauzwa ambazo ni External kwa nje sehemu ya kupitishwq data zimetengenezwa kwa mfumo wa Usb Type C au port ya kawaida ni mjihadhari baadhi ni fake.

Kwani zinakua zimeunganishwa memory card ambazo ni (micro SD cards) kwa ndani utazikuta ila kwa nje unaweza sema ni SSD kumbe memory card imeundwa kwa mfumo wa SSD ambazo spidi yake Kwenye kusafirisha data ni 2.0.

Ssd ambazo zimetengenezwa kama ilivyo M2 nvme ambazo ni External jihadhari wakati unanunua unaweza wekewa memory card ndani unaponunua kitu mtandaoni au kwq mtu jitahidi kukichunguza kabla ujaondoka nacho.

#ssd #ssdstorage #externalhdd #externalssd #pcaccessories #fahamuzaidi #tanzania #bongotech255